Ziara Ya Katibu Mkuu Dkt. John Jingu Gereza Kuu La Isanga Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu amelipongeza Jeshi la Magereza kwa kazi nzuri ya kuhakikisha mahabusu na wafungwa magerezani wanapata usimamizi mzuri na kutatuliwa changamoto zao.
…
