×

Tag: Elizabeth Michael

Lulu Afunguka Mapya Hakuna Starehe Ambazo Hajapitia, “Maisha ya Ujana Yaacheni”

Elizabeth Michael almaarufu Lulu au Mama G; ni staa wa Bongo Movies tangu kitambo hicho akiwa na umri wa miaka...

READ MORE

Mapito Ya Lulu Yamebeba Funzo Kubwa

Siyo stori kwamba supastaa kiwango kabisa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael au Lulu amejaaliwa mtoto wa kiume wikiendi iliyopita.  ...

READ MORE

NAMUONA LULU NDANI YA JENNIFER KANUMBA

KWA wafuatiliaji wa filamu tangu enzi zile ambazo filamu ilikuwa filamu kwelikweli, watakuwa wanamkumbuka vizuri binti mdogo aliyekuwa akifahamika kwa...

READ MORE

MAPIGO YA LULU, MOBETO NA JOKATE USIKU WA TUZO

TUZO za Sinema Zetu International Film Festival, (SZIFF 2019) zimefanyika Jumamosi iliyopita, Februari 23,  katika ukumbi wa Mlimani City, Dar...

READ MORE

Lulu Arudi Kwa Kishindo Instagram na Mahaba kwa Majizzo

Mwigizaji wa filamu maarufu Bongo, Elizabeth Michael.   Mwigizaji wa filamu maarufu Bongo, Elizabeth Michael hatimaye leo amerudi rasmi kwa...

READ MORE

Lulu Atoa Msaada Kwa Wasichana Akiwa Gerezani

MSANII wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa sasa anaendelea kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa...

READ MORE

Majirani Wasikitikia Mjengo Wa Mama Lulu

Huyu binti yake Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa gerezani Segerea jijini Dar akitumikia kifungo cha miaka miwili kufuatia kukutwa na hatia...

READ MORE

Kisa Kumposti Lulu… Kiba Ashambuliwa na Mashabiki

KATIKA kile kilichoonekana kwamba amemkumbuka aliyewahi kuwa mpenzi wake zamani  ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, Elizabeth Michael ‘Lulu’, staa...

READ MORE

2017 Ni Full Vicheko, Vilio Kwao!

MWAKA 2017 ndiyo unaelekea ukingoni huku ukiacha alama mbalimbali kwa watu maarufu, ambao utabakia katika historia yao. Na siyo mastaa...

READ MORE

Matukio Haya Yametikisa 2017, Tumekuwekea Hapa

TANGU mwaka huu uanze kumekuwa na matukio mengi yaliyojitokeza kwa mastaa, ambayo yalileta mshtuko kwenye jamii hususan kwa watu wanaofuatilia...

READ MORE

Sina Mpango Wa Kumuona Lulu Gerezani -Seth

WIKI chache baada ya muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kufungwa jela, mdogo wa marehemu Steven Kanumba, , aitwaye...

READ MORE

Jokate Amuombea Dua Lulu

MWANAMITINDO Jokate Mwegelo hivi karibuni baada ya kukaa kimya bila kumposti msanii mwenzake Elizabeth Michael ‘Lulu’ wala kuongea lolote kuhusiana...

READ MORE

LULU AIBUA MAZITO JELA! MKUU WA GEREZA AONGEA NA IJUMAA

Wakati mwanadada mrembo kwenye tasnia ya filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, akielekea kumaliza wiki mbili gerezani Segerea, Dar, anakotumikia kifungo...

READ MORE

Mama Lulu Afunguka Mazito Mwanae Kwenda Jela

SIKU tano baada ya mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ mama yake mzazi, Lucresia Karugila, kwa...

READ MORE

Bongo Movie niaje, Walimsusa Lulu au?

KUNA mambo katika maisha siyo kanuni, lakini utamaduni umeyafanya kuwa kama ndiyo utaratibu. Na haya yako mengi kutegemea na mila...

READ MORE

DK Cheni Afunguka Lulu Kugomea Rufaa

DAR ES SALAAM: Muigizaji wa muda mrefu nchini, Mahsein Awadh maarufu kama Dk Cheni, amefunguka kuhusu tetesi zilizozagaa mitandaoni, zikimhusisha...

READ MORE

Mama Kanumba: Nikiweza Nitaenda Kumuona Lulu Gerezani (Video)

 MAMA wa aliyekuwa muigizaji nguli wa filamu nchini, Steven Kanumba, Flora Mtegoa, amesema kuwa ataongea na Mungu wake kama...

READ MORE

Penny: Lulu Ametufunza Kitu Kwenye Mapenzi!

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Harusi Yetu kinachorushwa kupitia Televisheni ya Magic Swahili, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amewaasa watu wajifunze kupitia muigizaji...

READ MORE

Steve Nyerere Afungukia Mastaa Kumtenga Lulu

MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai yaliyokuwa yakiwatafuna wasanii wa Bongo Movies kuwa wamemtenga muigizaji mwenzao, Elizabeth...

READ MORE

Kibatala: Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa

WAKILI wa Elizabeth Michael ‘Lulu’, Peter Kibatala, kufuatia hukumu ya miaka miwili dhidi ya Lulu jana, ametoa ufafanuzi kupitia akaunti...

READ MORE

A-Z Safari Ya Lulu Kutoka Uraiani Kwenda Gerezani (Pichaz + Video)

Mwigizaji wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ (kulia) akiongea neno na Muna Alphonce nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Baba Kanumba Alalamikia Hukumu ‘Ndogo’ Dhidi ya Lulu

BAADA ya Mahakama Kuu kumhukumu mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenda jela miaka miwili kwa kumuua bila kukusudia aliyekuwa mwigizaji Steven...

READ MORE

Breaking News: Lulu Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Miwili Jela Kifo cha Kanumba

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemhukumu muigizaji wa Filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kifungo cha miaka miwili...

READ MORE

Mastaa Kiboko Kwa Kubadili Nywele Za Gharama Bongo

MASTAA wengi Bongo,kitu kikubwa wanachopenda ni kuonekana bomba kwenye vichwa vyao ambapo mara nyingi utawaona wamebadilisha mitindo mbalimbali ya nywele....

READ MORE

Mke wa Dkt. Slaa Atajwa Kesi ya Lulu Kifo cha Kanumba

KESI inayomkabili muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, anayedaiwa kumuua muigizaji mwenzake, Steven Kanumba, bila kukusudia, iliendelea leo katika...

READ MORE

KISA UMATI WA WATU, LULU AMPIGIA SALUTI ZARI!

Ule msemo wa nabii hakubaliki kwao! Umeweza kujidhihirisha kwa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, na mzazi mwenza wa msanii wa Bongo...

READ MORE

Mama: Nasubiri ndoa ya Lulu

MAMA wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila amefunguka kuwa anasubiri ndoa ya mwanaye kwani mkwewe mtarajiwa yupo na ameonesha...

READ MORE