Fahyvanny: Rayvanny Kwangu Amefika
MZAZI mwenza wa msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny, mwanadada Fahima Msenga ‘Fahyvanny’ amekiri kuwa hatoweza kuachwa na mpenzi wake.
Mwanadada huyo ambaye pia ni maarufu kama Fahyma, amesema amewaponda wale…