Majaliwa Achangisha Mil. 18.9 Kumsaidia Mtoto Miriam
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha sh. milioni 18.9 ambapo kati ya hizo, sh. milioni 10 zimetolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akifuatilia tukio hilo kupitia Televisheni.…
