×

Tag: Harmonize

Harmo Avunja Rekodi ya Kiba

STAA wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’, amevunja rekodi ya msanii mwenzake, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ aliyoiweka miaka...

READ MORE

Kendickson uso kwa uso na Harmonize!

STAA wa muziki nchini Nigeria, Amu Kingsley ‘Kendickson’ amesema ana shauku ya kufanya kolabo moja na msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Harmonize Adaiwa Mshahara

MAMBO si mambo kwa upande wa staa wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mkurugenzi wa Lebo ya Konde...

READ MORE

Harmo, Kajala Mambo ni Moto!

TABIA ya kupe ni kuganda kwenye ngozi pale anapofyonza damu; unauliza mfano una maana gani kwenye stori hii, subiri upakuliwe...

READ MORE

Harmo, Sarah Waagana Rasmi

NI rasmi sasa kwamba, zile tetesi kuwa ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ na mkewe Sarah Michelotti...

READ MORE

Video Mpya ya Harmonize – Ushamba – Itazame Hapa

MSANII maarufu wa Bongo Fleva kutoka lebo ya Konde Gang World Wide, Rajabu Abdul Kahali a.k.a Harmonize, Konde Boy, Jeshi,...

READ MORE

Shangwe la Harmonize Akiwasili Taifa Simba na Yanga – Video

WANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali maarufu Harmonize na Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzi walikuwa sehemu ya watazamaji waliofika...

READ MORE

Ndoa ya Harmo, Sarah Yadaiwa Kuvunjika

NDOA ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo na mkewe Sarah Michelotti ipo gizani na...

READ MORE

Ushamba Party ya Konde Gang Balaa Tupu – Video

NI ‘updates’ za wasanii kutoka lebo ya Konde Gang Music chini ya msanii Harmonize ambapo usiku wa kuamkia leo walifanya...

READ MORE

‘Pacha’ wa Harmonize Ajitokeza Mbagala

MSANII Followzee kutoka Mbagala jijini Dar es Salaam amesema anasikia raha sana watu kumfananisha na kuitwa pacha wa Harmonize kwani...

READ MORE

Mrembo Amfungia Safari Harmonize Kutoka Mara Mpaka Dar

MWANADADA, Victoria Romanus, amesafiri kutoka mkoani Mara mpaka jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuomba kazi ya unenguaji kwa...

READ MORE

Harmo Awaacha Njia Panda Mashabiki Zake

HIVI karibuni msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdul ‘Harmonize’ aliwaacha njia panda mashabiki zake baada ya kuposti picha...

READ MORE

Albamu Mpya ya Harmonize Inapikwa

  MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya Konde Gang, Harmonize, amedokeza ujio wa albam yake...

READ MORE

Kafara ya Harmo Yaanza Kujibu

Kufuatia ripoti zilizoanza kutoka wiki iliyopita za mafanikio ya wasanii kumtaja staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, kuwa miongoni...

READ MORE

Harmo: Naisimamisha Tena Dar!

STAA wa Bongo Fleva na bosi wa lebo kubwa ya muziki Bongo ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul Kahali...

READ MORE

Harmonize Amtambulisha Country Boy, Ampa ‘Jina la Baba’ – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Harmonize, amemtambulisha msanii Country Boy kama msanii mpya wa lebo yake ya Konde Gang ambayo inakuja...

READ MORE

Mambo 9 Harmo Kuanguka Taifa, Siri Yajuva

AJALI haina kinga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Rajab ‘Harmonize’ kuanguka...

READ MORE

Mondi, Harmo Waiteka Nigeria!

BURUDANI ya muziki ni sehemu inayofuatiliwa na wengi duniani kwa sababu ni kitu ambacho kinaleta furaha kwa watu hata kwenye...

READ MORE

Bwana Misosi: Harmonize Hawezi Kunilipa – Video

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Bwana Misosi, amesema amewasaidia baadhi ya wasanii kama Man X na Harmonize kwenye kazi...

READ MORE

Dada wa Shilole Asimulia Alivyoteseka Kuolewa na Harmorapa

DADA wa msanii Shilole ambaye amejitambulisha kwa jina la Khadija Ziota ameeleza kuwa amepitia wakati mgumu na kuteseka wakati anataka...

READ MORE

Harmo Amfunika Mondi Kibabe Uwanja wa Mkapa

Dawa ya moto ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia, Rais wa Kruu la Konde Gang, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kumuonesha bosi...

READ MORE

Rosa Ree Amfungulia Kesi Harmonize

MSANII wa muziki Bongo, Rosa Ree, amefunguka kuwa kesi yake dhidi ya msanii Harmonize kwa sasa ipo kwenye mikono ya...

READ MORE

Harmo: Shoo ya Yanga Sishindani na Mtu, Mtashangaa – Video

  MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka kuwa shoo yake atakayoifanya  Uwanja wa Mkapa kwenye kilele cha Sherehe...

READ MORE

Harmo Akataa Malumbano ya Bangi na Wasafi

Dar: STAA wa muziki wa Bongo Fleva na bosi wa Lebo ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul Khahali ‘Harmonize’...

READ MORE

Video: Harmonize Afunga Shoo ya Kihistoria Uwanja wa Uhuru

Msanii Harmonize amefanya Bonge la Shoo kwenye Tamasha UHURU KUNA JAMBO ambapo Chama Cha Mapinduzi kimezindua nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni...

READ MORE

Kisa Bangi, Harmonize Hajanisalimia Miaka 3 – Sallam SK

MENEJA wa kimataifa wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Sallam SK kutoka lebo ya WCB, ameamua kuweka wazi bifu...

READ MORE

Zuchu Amburuza Tena Harmonize!

DAR: Memba mpya wa lebo kubwa ya muziki barani Afrika, Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othman Sudi ‘Zuchu’, amemburuza bosi...

READ MORE

Team Samatta, Shuhudia Mbwembe za Harmonize – Video

  MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka Konde Gang, ni miongoni mwa wachezaji wanaokamilisha wachezaji 11 wa kikosi cha Team...

READ MORE

Video Vixen Wamewaponza!

KUMEKUWA na kasumba ambayo inawaandama sana mastaa wa muziki hapa Bongo. Hii imesababisha baadhi ya mastaa waponzwe na warembo hao,...

READ MORE

Utata Waibuka Msanii Mpya wa Harmonize!

UTATA umeibuka baada ya bosi wa Lebo ya Konde Gang Music Worldwide, mwanamuziki Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ kumtangaza msanii...

READ MORE

Harmonize Azindua Tamasha Lake ‘Harmo Night Carnival’ – Video

Msanii kutoka Lebo ya Konde Gang wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize  amezindua rasmi Tamasha lake la Harmo Night Carnival....

READ MORE

SA’ Itakuwaje? Wimbo wa Harmo kwa Mkapa Kufutwa, Giza Nene!

  DAR: “Ikiwa Amen amen nenda salama kipenzi… Amen amen tutazidi kukuenzi… Tunakushukuru kwa yote mazuri uliyotufanyia… Safari ni yetu...

READ MORE

Video: Harmonize ‘Aagua Kilio’ Na Kushindwa Kuendelea Kuimba

 Msanii wa Bongo Fleva Harmonize ashindwa kuendelea kuimba na kuangua kilio wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho...

READ MORE

Harmo Aja na Balaa Lingine!

DAR: Rais wa Lebo ya Konde Music Worldwide, Rajab Abdul ‘Harmonize’ ametangaza balaa jipya mwezi ujao wa Agosti. Harmonize au...

READ MORE

Harmonize Dizaini Flani Kama Kashauelewa Muziki

Ni miaka michache imepita tangu msanii Rajab Abdul “Harmonize” wengi wanamuita Konde Boy au Jeshi , atoke rasmi kundi la...

READ MORE

Wolper Amtuliza Sarah kwa Harmonize!

DAR: Kiroho safi! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, amemtuliza mwandani wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul...

READ MORE

Kifo cha Mke wa Babu Tale, Harmonize ‘Ahukumiwa’

ULE msemo usihukumu, usije ukahukumiwa umetokea kwenye msiba wa mke wa Hamis Tale ‘Babu Tale’, Shamsa Kombo.   Jicho la...

READ MORE

Huyu Ndiye Sallam Mendez Aliyekataa Mkono wa Harmo!

KWENYE ulimwengu wa soka, kuna mtu hatari aitwaye Jorge Mendez. Ni mzaliwa wa pale jijini Lisbon, Ureno. Huyu ni wakala...

READ MORE

Ubunge wa Harmonize Tandahimba Njia Panda

Oktoba 15, 2019, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ alitamka kuwa anatamani staa wa...

READ MORE