×

Tag: Harmonize

Kontawa Feat Harmonize: Binadamu (Official Audio)

Msanii wa muziki nchini, Abdu Hamid Said maarufu ‘Kontawa’ ameachia wimbo wake mpya wa Binadamu amemshirikisha Mwimbaji maarufu wa Bongo...

READ MORE

Harmonize Ampongeza Diamond Kwa Kuiga Mtindo Wake Wakati Akichugua Mpenzi Mpya -Video

Bosi wa Lebo ya Konde Gang, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize au Konde Boy anaonekana kupendezwa mno na anayedaiwa kuwa...

READ MORE

Klabu ya Soka ya Nigeria Yapigwa Faini kwa Kosa la Afisa Wake Kukojoa Uwanjani

Chama cha kandanda cha Nigeria kimeitoza faini klabu ya daraja la kwanza huko Ibadan ya karibu $1,000 (£900) baada ya...

READ MORE

Harmonize Aibuka na Feza Kessy, Aibua Maswali Mazito Kwa Mashabiki Wake

  MSANII Rajabu Kahala ‘Harmonize au Harmo’ leo Desemba ameibua maswali mazito kwa mashabiki zake baada ya kuachia  picha tata...

READ MORE

Harmonize Afunguka Kumsaliti Kajala, Ataja Video ya Wimbo Wake wa ‘The Way You Are’

  Harmonize au Konde Boy; ni supastaa wamuziki  wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye nyimbo zake hazikauki midomoni mwa mashabiki...

READ MORE

H Baba Amtetea Harmonize, Amuumbua Mwijaku Kisa Binti Yake Paula Kajala

H Baba; ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye hivi karibuni alionekana kuwa kinyume na aliyekuwa bosi wake kwenye...

READ MORE

Harmonize na Kajala Wafunga Ndoa Kidizaini Ndani ya Video ya Nitaubeba – Video

  Harmonize au Konde Boy; usiku wa kuamkia Septemba 23, 2022 Alhamisi ameachilia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa...

READ MORE

Harmonize Atabiriwa na Mashabiki wa Muziki Kumfunika Diamond

  Baadhi ya mashabiki wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania wanatabiri kwamba, wasanii Harmonize au Konde Boy na Rayvanny...

READ MORE

Paula Awapiga Na Kitu Kizito, Kajala na Harmonize Wamwaga Baraka

PAULA KAJALA; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania ambaye anadaiwa kuwapiga watu na kitu kizito baada...

READ MORE

MC Gara B: Kajala Alikuwa Ananizungusha Wakati Harmonize Anapambana Kurudiana Naye

MSHEREHESHAJI Maarufu nchini MC Gara B leo Julai 14, 2022 ametembelea Studio za Global TV na Global Radio ambapo amefanya...

READ MORE

Pimbi: Marioo Kamfunika Harmonize Kimuziki, Amebaki Kutembelea Kiki ya Kajala

MSANII wa vichekesho nchini anayefahamika kwa jina la Pimbi amesema kwa sasa kimuziki Marioo kamuacha mbali sana CEO wa Kondegang,...

READ MORE

Harmonize: Nikifa Mungu Mlinde Kajala Namba Moja, Mama na Baba Konde, Namba Nne

Harmonize au Konde Boy; ni staa wa kimataifa wa muziki kutoka nchini Tanzania ambaye wikiendi iliyopita aliangusha bonge la shoo...

READ MORE

Harmonize na Anjella Wapigwa na Kitu Kizito, Ngoma Yao Yapigwa Chini

ANJELLA na bosi wake, Harmonize wamepigwa na kitu kizito baada ya video yao mpya inayokwenda kwa jina la Kioo kuondolewa...

READ MORE

Paula Amsamehe Mama Yake Baada Ya Kurudiana na Harmonize, “Aliapa Awe Amekufa”

  PAULA Kajala; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania na ni binti wa mastaa, mwigizaji Kajala Masanja...

READ MORE

Rasmi Kajala Awa C.E.O na Meneja wa Harmonize, Choppa Afunguka

  BAADA ya Harmonize kuthibitisha kurudiana na Kajala, taarifa mpya kutoka Konde Gang ni kwamba, rasmi Kajala atakuwa C.E.O na...

READ MORE

Mastaa Wateswa na Msongo wa Mawazo, Mashabiki Wao Wawazungumzia

  KWA nini baadhi ya mastaa Bongo wamekuwa wakilalamika kuteswa na msongo wa mawazo ilihali wanajisifu kuwa na maisha mazuri?...

READ MORE

Harmonize: Usikubali Mtu Akukatishe Tamaa, Pambania Ndoto Zako

HARMONIZE au Teacher Konde; ni staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania ambaye anasema kuwa wakati anahaso kutoka kimuziki alikatishwa tamaa...

READ MORE

Harmonize Aingilia Sakata Mtoto wa Ibraah, Ampa Ushauri Mzito

HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi; ni staa wa muziki nchini Tanzania ambaye ameingilia kati sakata la msanii wake, Ibraah kudaiwa...

READ MORE

Esma: Harmonize ni Mtu Wetu na familia ya Wasafi Inafurahia Mafanikio yake

ESMA Khan au Esma Platnumz; ni dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye anasema kuwa, hakuna uhasama...

READ MORE

Harmonize Avunja Rekodi Youtube, Apata Views Mil 1.3 Ndani ya Sekunde 34

STAA wa muziki na CEO wa Konde Gang, Harmonize  usiku wa kuamkia leo Aprili 13, 2022 amevunja rekodi ya Youtube...

READ MORE

Harmonize Kumuenzi Mzee Mengi

Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mwanamuziki Harmonize ametangaza kuja na tamasha lake la #OneLoveConcert lenye dhumuni ya kuchangia na...

READ MORE

Harmonize: Briana Ananisaidia Kuliko Sarah

HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi; ni staa mwingine mkubwa wa Bongo Fleva ambaye amekuwa hakaukiwi habari.   Safari hii anaeleza...

READ MORE

Harmonize: Hakuna Konde Boy Bila Madam Rita

Harmonize au Konde Boy Mjeshi; ni staa wa muziki nchini Tanzania akimiliki Lebo ya Konde Music ambaye amempigia magoti bosi...

READ MORE

Harmonize Matatani Kupanda Stejini na Mtoto

STAA wa muziki na CEO wa Konde Gang, Harmonize amejikuta pabaya mara baada ya kukosolewa vikali na wadau mbalimbali wanaosimamia...

READ MORE

Harmonize Amtibulia Mondi Tena

FAHAMU kwamba, Diamond Platnumz ambaye ni supastaa wa muziki barani Afrika akitokea Tanzania amesogeza mbele tarehe ya kuachia albam yake fupi...

READ MORE

Rayvanny, Harmonize Bado Vita Mbichi

Vita ni vita! Kama uliamini vita kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa au Rayvanny na Rajabu Abdul...

READ MORE

Diamond Kamkimbia Harmonize

Diamond Platnumz ni supastaa wa muziki nchini Tanzania ambaye alipanga kuachia albam take fupi (EP) leo Machi 4, 2022, lakini...

READ MORE

H Baba Alikuwa Kwa Harmonize Kimchongo

MKONGWE wa Bongo Fleva, H Baba ametangaza kuachana na kushabikia au kuwa chawa wa Lebo ya Konde Gang chini ya...

READ MORE

Plan Madini Amtosa Harmonize Kisa Beka Flavour

DAMU change kunako Bongo Flevani, Ally Omari almaarufu Plan Madini ambaye hivi karibuni alitangaza kufanya ngoma yake ya Wasiwasi na...

READ MORE

Sababu ya Harmonize Kukimbiwa na Machawa

Kambi ya Mjeshi wa Konde Gang, Rajab Abdul almaarufu Harmonize inazidi kukimbiwa na machawa wake baada ya mkongwe wa Bongo...

READ MORE

H-Baba Aanika Yote Ya Harmonize “Nimechoka, Narudi Mwanza”

RASMI imejulikana wazi sababu za msanii H Baba kujitenga na Konge Gang chini ya CEO Harmonize, ni kutokana na sauti...

READ MORE

Harmonize: Jux ni Brother, Sisi ni Ndugu

NI HEADLINES za mastaa wa Bongo Fleva, Jux na Harmonize zinaendelea kwenye tasnia ya muziki wa Bongo na entertainment kwa...

READ MORE

Jux: Sijawahi Kumfollow Harmonize

STAA wa Bongo Fleva, Juma Jux amesema kuwa hajawahi kum-follow mwanamuziki mwenzake Harmonize ambaye ni CEO wa Lebel ya Konde...

READ MORE

Mwijaku: Harmonize Piga Kazi, Kuhusu H-Baba……

MTANGAZAJI wa Clouds Media, Burton Mwenda maarufu kwa jina la Mwijaku ameamua kuvunja ukimya kufuatia H-Baba kumgeuka Harmonize na kuanza kumposti...

READ MORE

Harmonize Atangaza Rasmi Tamasha la Afro East Carnival

TAARIFA njema ya burudani ikufikiea popote ulipo, Mwanachama wa Chama Kikuu cha Burudani Tanzania, supastaa wa Muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Harmonize: Kiba Lazima Aimbe Kwenye Kumvisha Pete Mchumba Wangu

MWANAMUZIKI maarufu nchini Harmonize ameendelea kuonesha heshima kwa mwanamuziki mwenzake Ali Saleh Kiba kwa kumpongeza kwa kazi nzuri kupitia kwenye...

READ MORE

Harmo: Nachora tattoo usoni

HARMONIZE au Konde Boy ni staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania ambaye ameeleza uwezekano wa kuchora tattoo usoni. Harmonize au...

READ MORE

Baba Levo Akiri: Teacher ya Harmonize Ndio Amapiano Bora

NI headlines za mtangazaji kutoka kwa mwanamuziki Baba Levo, ambae amekiri kuwa katika mwaka 2021 katika nyimbo za #Amapiano wimbo...

READ MORE

Harmonize: Sijamtuma Mtu

C.E.O wa Lebo ya Konde Gang Music, Harmonize au Konde Boy Mjeshi amefunguka kwamba hawezi kumtuma mtu akamzungumzie mtu f’lani...

READ MORE

Harmonize: Nilijisikia Vibaya Kiba Kukataa Urafiki

WIKIENDI iliyopita, Harmonize au Konde Boy Mjeshi alikuwa akizindua albam yake ya High School. Kabla ya uzinduzi huo, Harmonize alipata wasaa...

READ MORE