Hemed Phd: Aliingia Kwenye Sanaa Kisa Kunyimwa Pesa na Mshua
Hemed Suleiman al maarufu kama Hemed Phd ni msanii wa muziki wa bongofleva na uigizaji wa filamu za bongo maarufu kama Bongo Movies.
Amezaliwa mwaka 1986 na kakulia jijini Dar es Salaam, alisoma Shule ya Msingi Oyesterbay…
