Hii Ndiyo Stendi Mpya ya Mabasi Msamvu, Baada ya Kukarabatiwa, Sasa Inang’aa Kama Airport!
Upande wa kuingilia abiria kwenye stendi hiyo.Abiria wakisubili usafiri. Moja ya mabasi hayo likiingia eneo la stendi na kupakia na kushusha abiria.Muonekano wa mbele wa stendi hiyo. Pia kama huna tiketi kuingia kwenye stendi hiyo…
