Kuwepo kwa Ugonjwa wa ZIKA Nchini, Waziri Ummy Asema Hawajapokea Taarifa Yoyote Kutoka NIMR
DAR ES SALAAM: Kufuatia taarifa zilizothibitiswa na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kuhusu kugunduliwa kwa Virusi vya Zika nchini, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu (pichani…