Boomplay Watoa Takwimu za Muziki 2020: Rayvanny, Zuchu Waongoza
App namba moja kwa huduma ya muziki Barani Afrika, Boomplay imemtaja msanii Rayvanny kuwa ndiyo mwanamuziki wa kiume aliyesikilizwa zaidi Tanzania huku Zuchu akiwa ndiyo mwanamuziki wa kike aliyesikilizwa zaidi Tanzania. Hii ni kwa…
