×

Tag: jay z

Jay Z, Robin Thicke, Kelly Rowland, Meek Mill Waungana

Jay Z na wasanii wengine, akiwemo Robin Thicke, Kelly Rowland, Meek Mill, wamejitokeza na kuomba marekebisho sheria ya New York...

READ MORE

Jay Z: Hakuna wa Kushindana na Mimi

Kupitia Twitter Space wakiwa live kwenye group la mazungumzo na mwanamuziki Alicia Keys wakati akisherehekea mafanikio ya albamu yake mpya...

READ MORE

Jay Z Ateketeza Bilioni 14 kwa Saa Hii

Unaambiwa Staa wa Muziki Duniani, Jay Z ameishtua dunia baada ya kuonekana na saa mpya ya ‘Patek Philippe Tiffany Blue...

READ MORE

Jay Z Ajitoa Tena Instagram

BAADA ya jana kujiunga kwenye mtandao maarufu duniani wa Instagram nakupata followers million 2 ndani ya saa 24 akiweka post...

READ MORE

Hatimaye Jay Z Ajiunga Instagram

BAADA ya kuwa mbishi kwa miaka mingi, hatimaye rapa maarufu kutoka pande za Marekani, Jay Z amejiunga na familia ya...

READ MORE

Jay Z Awakoroga Waislamu Kenya

Mwanamuziki maarufu wa mziki wa Hip Hop wa Marekani Jay Z asababisha hasira miongoni mwa baadhi wa wenyeji wa kaunti...

READ MORE

Mtoto wa Jay Z, Beyonce Atwaa Tuzo ya Grammy

MTOTO wa nyoka ni nyoka, msemo huo umetimia baada ya mtoto wa Wanamuziki matajiri duniani, Jay Z na Beyonce, Blue...

READ MORE

Jay Z Aanza Rasmi Biashara ya Bangi

Moja ya kuifahamu leo November 26, 2020 ni Mwanamuziki maarufu nchini Marekani Jay-Z ametajwa kama ‘Afisa Mkuu mpya wa kampuni...

READ MORE

Jay Z Ageukia Biashara ya Bangi

MSANII nguli wa Hip hop duniani kutoka Marekani, Jay Z amepata shavu kutoka kampuni kubwa ya utengenezaji na uzalishaji wa...

READ MORE

Tuzo za Brit zatua kwa Drake, Ariana, Ed Sheeran & The Carters

TUZO kubwa duniani za 39 za Brit Awards 2019 (mastercard) zilizofanyika nchini Uingereza, zimemalizika vizuri usiku wa kuamkia leo, Februari...

READ MORE

Meek Mill, Jay-Z Waanzisha Taasisi Kusaidia Wafungwa

  MARAPA wawili wa Hip Hop wa Marekani, Jay Z na Meek Mill,  wameanzisha taasisi ya kutoa msaada wa kisheria...

READ MORE

Jay Z, Gaga Miongoni Mwa Waliosusia Filamu ya R. Kelly

  Jay z na Lady Gaga ni mongoni mwa wanamuziki maarufu ambao walikataa kuonekana katika filamu inayoonyesha maisha halisi ya...

READ MORE

Wajue Walioingiza Mkwanja Mrefu Zaidi Duniani 2018

  JARIDA maarufu duniani la biashara la ‘Forbes’ limetoa orodha ya watu kumi maarufu walioingiza mkwanja mrefu kwa mwaka 2018....

READ MORE

Kumbe Meek Mill Alifurahia Jay-Z Kumdis Kanye, Trump Kwenye Album Yake! (VIDEO)

  Rapa Meek Mill amefunguka kupitia CNN kuhusiana na nyimbo ya ‘What’s Free’ aliomshirikisha Jay-Z   inayopatikana kwenye albam yake ya...

READ MORE

KIKI YA JAY Z, BEYONCE NI HATARI

SI Bongo tu, inaonekana kwa sasa kwenye ulimwengu wa burudani duniani kote mambo bila kiki hayaendi, wanamuziki, waigizaji na watu...

READ MORE

Mali za Jay Z ni Kufuru

KATIKA Tasnia ya Muziki anafahamika kwa jina la Jay Z, lakini mama yake mzazi Gloria Carter, alipomzaa alimuita Shawn Corey...

READ MORE

Nidhamu ya Watu ni Chachu Ya Utajiri

  MUNGU wa mbinguni amefumbata fungu lako la mafanikio kiganjani mwake. Wakati wako ukifika, kila kitu kitakaa sawa na unachotakiwa...

READ MORE

Hatimaye Beyonce Awaanika Hadharani Mapacha Wake

  MWANAMUZIKI maarufu duniani, Beyonce Knowles kwa mara ya kwanza ameawaanika hadharani watoto wake mapacha ikiwa ni takribani mwezi mmoja...

READ MORE

Acha Kuzubaa, Watu Wanapiga tu Fedha Kila Mwaka

Na Nyemo Chilongani na Mtandao | IJUMAA WIKIENDA WATU wanapambana kila siku kuhakikisha wanatoka kimaisha. Wale wasiokuwa na kitu wanajitahidi...

READ MORE

Najivunia Kufananishwa na Jay Z – Joh Makini

Msanii wa ‘Hip hop’ Bongo, kutoka kampuni ya Weusi, Joh Makini amefunguka ya moyoni na kusema anajisikia faraja kwa mashabiki...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Jay Z Alimzuia Kabisa Tiwa Savage Kufanya Hili… ( Video)

Kumekuwa na mjadala mkubwa kuwa wasanii wengi wanaosign na label kubwa za Marekani mara nyingi huishia kupotea kwenye game, na...

READ MORE

Jay Z Na Beyonce Kununua Nyumba Ya Bei Ghali ($200 Million) Zaidi Jijini Los Angeles – (Video)

Kuwa superstar sometimes ni raha sana… why? Ukiwa kama Jay Z na Beyonce unakuwa na uwezo wa kununua kitu chochote...

READ MORE

Jygga Lo: “Nilikuwa Simjui Jay Z Ni Nani Na Sikupenda Kufananishwa Nae”- (Video)

Kama vile Harmo Rapa afananishwavyo na Harmonize msanii kutoka label ya WCB Wasafi ndivyo ambavyo Ramadhan Ally anafananishwa na rapa...

READ MORE

MPYA: DJ Khaled Feat. Beyonce & Jay Z – Shining (Audio)

Kama wewe ni shabiki wa ngoma za Hip Hop basi hii inakuhusu moja kwa moja. Mpya ya leo inatoka kwa DJ,...

READ MORE

PICHAZ: Mastaa Kwenye Tuzo Za The Grammy Awards 2017.

Kama wewe ni shabiki wa muziki wa mamtoni, basi usiku wa jana Februari 12 2017 naamini ulikuwa usiku wa kipekee...

READ MORE

Bilionea jay z anakutaka uuanze mwaka kwa tamaa ya mafanikio!

Makala: Nyemo Chilongani na Mtandao, Gazeti la Ijumaa, Toleo la Januari 02, 2017 Tumeumaliza Mwaka 2016 tukiwa bado na ndoto...

READ MORE