Yanga Wazindua Kalenda Yao Ya Mwaka 2021
KLABU ya soka ya Yanga imezindua rasmi kalenda yake ya mwaka 2021.
Taarifa rasmi ya Yanga imeeleza: "Kalenda ya timu ya wananchi tayari imeshatoka na inapatikana kwa bei ya shillingi 5,000 Makao makuu yetu mtaa wa Twiga/Jangwani na…
