Alichokisema JOSEPH KUSAGA Msibani kwa RUGE – Video
MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, amezungumzia kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Makampuni hayo, Ruge Mutahaba ambaye alifariki dunia jana Februari 26, jioni nchini Afrika Kusini…
