IGP SIRRO ATOA TAMKO WATAKAOHARIBU UCHAGUZI MADIWANI (VIDEO)
				 
MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro amewatahadharisha wananchi kote nchini kutokuvuruga uchaguzi wa marudio wa udiwani unaotarajiwa kufanyika Novemba 26, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini…			
				