×

Tag: Kikwete

Kikwete Afanya Mazungumzo na Waziri Mkuu wa Grenada, Jijini New York

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) amekutana na kufanya...

READ MORE

JK akutana na Makamu wa Rais wa Nigeria Kashim Shettima mjini Abuja

Makamu wa Rais wa Nigeria, Kashim Shettima ametoa wito wa kuimarisha ushirikiano kati ya Nigeria na Tanzania, akisisitiza umuhimu wa...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Ashinda Tuzo Ya Kiongozi Wa Amani Na Usalama Wa Mwaka 2023 Ya Jarida La Uongozi Wa Afrika

Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais William Ruto wa Kenya, na Rais wa zamani wa Liberia George Weah wameibuka...

READ MORE

Kikwete Aonya Kuchanganya Dini Na Siasa “Ni Jambo Hatari Kwa Amani Na Utulivu Wa Taifa”-Video

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwanyanyapaa viongozi wanaochanganya dini na siasa kwa kuwa ni jambo hatari kwa ustawi wa...

READ MORE

Mzee Kikwete Kuzindua Kitabu cha Maisha Yake

Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kuzindua kitabu cha maisha yake alichokiita kwa...

READ MORE

Mzee Kikwete Ahani Msiba wa Mama Mwakinyo

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amewasili Jijini Tanga nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo kutoa mkono wa pole kwa familia kufuatia...

READ MORE

Video; Mstaafu Kikwete anashiriki Kumbukumbu ya Kifo cha Baba Mzazi wa Nape Nnauye.

   MSTAAFU KIKWETE ANASHIRIKI KUMBUKUMBU ya KIFO CHA BABA MZAZI WA NAPE NNAUYE.. LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa...

READ MORE

Kikwete Ampongeza Waziri Gwajima

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...

READ MORE

Kikwete: Samia Anaendesha Nchi Vizuri

RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amempongeza Rais Samia Suluhu na...

READ MORE

Ridhiwani: Mzee Kikwete Yupo Salama

Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekanusha taarifa za sintofahamu zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii zikimhusishia baba yake mzazi na...

READ MORE

Kikwete: Waliosema Sikumkata JPM ni Waganga Njaa – Video

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amesema kuwa waliomsema kuwa hakukata...

READ MORE

Kikwete: Sina Shaka na Rais Samia, Ataendeleza Kazi ya Magufuli – Video

  RAIS mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema ana imani...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Amlilia Magufuli

Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa pole kwa Watanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania...

READ MORE

Kikwete: Ni Pigo Kubwa, Hotuba ya Samia ina Matumaini

Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa pole kwa Watanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania...

READ MORE

Tanzia: Naibu Waziri wa Kikwete Afariki Dunia

MBUNGE  wa zamani wa Mpwapwa mkoani Dodoma nchini Tanzania, Gregory Teu, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kujisikia...

READ MORE

Kikwete: JPM Amewazima Midomo Wapinzani Ajenda Ya Rushwa -Video

MWENYEKITI mstaafu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete amesema, Rais wa Tanzania anayemaliza muda wake, John Magufuli amewazima midomo...

READ MORE

JPM, JK Wakiongoza Dhifa ya Kitaifa kwa Rais wa Malawi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, ameongoza dhifa ya kitaifa kwa heshima ya Rais wa Malawi,...

READ MORE

Kikwete: Wapinzani Wameishiwa Hoja

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amekoleza moto kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema Watanzania...

READ MORE

Kikwete: Sijamwacha Mke Wangu – Video

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hajamuacha mkewe,...

READ MORE

Kikwete: Kuibiana Kawaida, Yanga Achaneni na Morrison

  RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni shabiki kindakindaki wa Klabu ya...

READ MORE

Lindi: Kikwete Aongoza Swala ya Eid El-Adha

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne  Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid...

READ MORE

JPM: Mkapa Alikataa Kuzikwa Dodoma – Video

RAIS John Magufuli amesema rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin  Mkapa alipenda nyumbani kwao Masasi ndiyo maana alikataa kuzikwa...

READ MORE

Kikwete: Viwanda, Uchumi wa Kati Dira ya Mkapa – Video

RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema sera ya kukuza uchumi na kujenga viwanda ilikuwa ni dira  aliyoitengeneza...

READ MORE

Viongozi Waliofika Kutoa Pole Msiba wa Mzee Mkapa – Pichaz

                     

READ MORE

Kikwete: Jana Nilikuwa na Mkapa, Kifo Siri ya Mungu – Video

RAIS wa awamu ya nne,  Jakaya Kikwete amesema hali ya kiafya ya rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin  Mkapa, ...

READ MORE

Hotuba ya Kikwete, Mkapa, Wakiaga Mwili wa Moi – Video

Marais wastaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete baada ya kutua Jijini Nairobi kwa ajili ya mazishi rasmi ya...

READ MORE

Mkapa na Kikwete Wawasili Kenya Kumzika Rais Moi

  MARAIS wastaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wageni mashuhuri, watakaoshiriki mazishi ya kitaifa ya...

READ MORE

JK: Nimeitikia Wito wa Rais Magufuli

  Rais Mstaafu wa awamu ya 4, Jakaya Kikwete hii leo amekamilisha usajili wa laini zake za simu kwa njia...

READ MORE

JK Aongoza Maziko ya Mama wa Mwenyekiti CCM Moro

  RAIS mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Jakaya  Kikwete,  jana Desemba 24, 2019, ameshiriki mazishi ya mama mzazi...

READ MORE

Kikwete Kusaidia Matibabu ya Watoto – Video

BRAZUKA Kibenki Marathoni ni mbio za nyika zitakazofanyika Septemba 15 mwaka huu ambazo zimeandaliwa na mabenki 18 yanayofanya shughuli zake...

READ MORE

KIKWETE ALIVYOTEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA – VIDEO

Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameungana na Watanzania katika maonyesho ya 43 ya  kimataifa ya biashara yanayoendelea katika viwanja...

READ MORE

JPM, JK WAPAA SAUZI KWENYE SHEREHE – (PICHA + VIDEO)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  John  Magufuli,  leo Ijumaa, Mei 24, 2019 amkwenda Afrika Kusini ambapo kesho atahudhuria...

READ MORE

JK: Kifo cha Mengi Ukweli Tutaujua Tu, Awataja Mdogo, Mtoto wa Marehemu!- Video

Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Dkt. Reginald...

READ MORE

Kikwete Ampa Tano Lowassa Kurejea CCM

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amempongeza Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa uamuzi wake wa...

READ MORE

Magufuli, Majaliwa, Kikwete Walivyomuaga RUGE, Karimjee – Video

RAIS John Magufuli leo alikuwa kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam  akiwa ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa ajili...

READ MORE

JK Aungana na Waombolezaji Kumlilia Ruge – VIDEO

Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete leo wamefika nyumbani kwa Prof. Mutahaba ambaye ni baba...

READ MORE

JK; “Nimelemewa”, JPM; “Nitakukumbuka”, Makonda; “Hautosahaulika”

Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameeleza maumivu aliyonayo kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media...

READ MORE