Tanzania Yatajwa Nchi ya Kwanza kwa Uzuri Afrika, ya Nne Duniani
TANZANIA imetajwa kuwa nchi ya nne kwa uzuri duniani na ya kwanza kwa Bara la Afrika kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk kutokana uzuri wa asili wa Taifa hilo lenye vivutio vya aina yake.
Tanzania…
