Jinsi ya Kupata Kitambulisho cha NIDA Kilichopotea
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa maelekezo kuhusu hatua za kufuata mtu anapopoteza kitambulisho chake ili aweze kupata kitambulisho kipya.
NIDA imelazimika kutoa maelezo hayo baada ya mtumiaji mmoja wa…
