Daktari Ashtakiwa kwa Kuiba Moyo wa Polisi
HII ni hatari sana! Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya daktari mstaafu nchini Kenya Dkt. Moses Njue ameshtakiwa katika Mahakama ya Meru kwa kosa la kuiba viungo vya maiti za binadamu wakati wa utumishi wake.…
