Simba Yatua Kwa Beki la Kazi Raia wa Cameroon Amecheza LA Galaxy ya Marekani
KLABU ya Simba ipo katika mazungumzo na beki la kazi raia wa Cameroon, Jean Jospin Engola kwa ajili ya kuimarisha ukuta wa timu hiyo kuelekea msimu ujao.
Simba huenda ikaachana na mabeki wake wa kati akiwemo…
