Mshambuliaji Mpya wa Yanga, Mzambia, Kambole Achota Milioni 278 Miaka Miwili
IMEFAHAMIKA kwamba, mshambuliaji mpya wa Yanga, Mzambia, Lazarous Kambole, ndani ya kikosi hicho alichosaini mkataba wa miaka miwili, atakuwa analipwa zaidi ya shilingi milioni 278.
Kambole amejiunga na Yanga…
