Kaizer Chiefs Watua Kwa Lokosa wa Simba
MIAMBA ya soka kutokea nchini Afrika Kusini, Kaizer Chiefs wameonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Klabu ya Simba raia wa Nigeria, Junior Lokosa, ambapo inaelezwa Simba wanahitaji dau la dola 200,000 sawa na zaidi ya Shilingi…
