Mzee Magali Alivuomwekea Upupu Mwalimu Wake
Mkali wa filamu za Kibongo, Charles Magali ameibuka na kuweka wazi siri aliyokuwa ameificha toka utotoni na kudai kuwa aliwahi kumuwekea mwalimu wake upupu kwenye kiti chake.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Mzee Magali alisema…
