JPM: Mtu Afungwe, Halafu Anunuliwe Chakula? Nimechoka, Nataka Wafungwa Wakalime
Rais John Magufuli amesema ni vizuri magereza yakawa na maeneo mengi ili wafungwa walime na wajue maana ya kufungwa ni nini.
Ameyasema hayo jana (alhamisi) wakati akizungumza wilayani Bagamoyo katika ziara yake ya siku tatu, mkoani…
