The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

makala maisha

WAOGOPE WANAWAKE WA AINA HII !

KATIKA kuangalia tabia za wanawake, ni vyema ukawa chonjo kwani ukiingia chaka wanaweza kuyafanya maisha yako ya uhusiano kuwa balaa. Labda saa hizi uko katika uhusiano wa muda mrefu na mpenzi wako au sasa hizi uko mbioni unatafuta,…

Unavyoweza Kutumia Simu Kuboresha Penzi

TUNAISHI katika dunia ya utandawazi ambapo sasa karibu kila mtu anamiliki simu, hata wale wenye uwezo wa chini kabisa. Ukijaribu kufuatilia, matatizo mengi yanayotokea katika uhusiano wa kimapenzi, yanachangiwa sana na hizi simu za…

Tabia 8 Za Wapenzi Wenye Pendo La Dhati

MAPENZI ni hisia. Unapompata mtu akakupenda kwa dhati, ni vigumu sana kuyatambua mateso ya wengine wanayopitia kwenye mahusiano yao. Wapendanao wanajiona wapo kwenye dunia yao, wanapokuwa pamoja wanajihisi matajiri hata kama ni kapuku.…

Kuna Makabila Hayafai Kuoa, Kuolewa?

IPO kasumba ambayo inawatafuna watu wengi. Kwamba kabila fulani ni zuri, linafaa kuoa au kuolewa, lakini kabila fulani si zuri kuoa au kuolewa.  Wapo watu wazima, kwa uzoefu wao wanawamezesha ushuhuda vijana wao. Kwamba…

Wanawake mnanisikia au niongeze sauti

WATAALAM wa saikolojia na elimu ya uhusiano wa kimapenzi kati ya mwanamke na mwanaume, tunakubaliana kwa pamoja kwamba, wanaume ni viumbe rahisi mno kuridhishwa kwenye suala la unyumba au tendo la ndoa. Mwanzoni, kitu kinachomhamasisha…

Umeumizwa Moyo wako na Umpendaye?

UNAPOZUN-GUMZIA suala la maumivu ya mapenzi, japokuwa huumiza sana hasa kama ulikuwa na mapenzi ya dhati na mwenzi wako na baadaye akaaamua kukugeuka, siyo suala geni hapa duniani.  Unapolia leo kwa sababu ya mapenzi, elewa kwamba…

Mambo haya ni sumu ya penzi lako

UKIACHILIA mbali pesa, mapenzi huwa yana nafasi kubwa kwenye dunia tunayoishi. Si maskini wala si tajiri, wote kwa pamoja wanahitaji mapenzi kutoka kwa wanaowapenda ili dunia iende sawa kwa upande wao. Na ndiyo sababu hata mimi hapa…