×

Tag: Makala

MKIACHANA MNAPASWA KUISHI HIVI!

HAKUNA kitu kinauma kama kuachwa. Anayeachwa huwa anakuwa hayupo tayari kukubali matokeo. Aliyemuacha mwenzake anakuwa amejiandaa wakati mwenzake hajajiandaa. Ni...

READ MORE

FAHAMU KANSA YA TITI, UZAZI, KISUKARI YANAVYOKUWA YAKURITHI

Kuna aina fulani ya magonjwa ambayo hupatikana katika familia,  mengine yanayotokana na kurithi na mengine kwa sababu familia hushiriki mazingira...

READ MORE

KWANINI WANAUME WANATAKA TENDO TU NA SIYO KUOA ?-2

WIKI iliyopita nilileta mada hii kwenu na kwa kweli mwitikio wake umekuwa mkubwa hivyo ngoja nimalizie ujumbe wangu niliolenga kuufikisha....

READ MORE

NAMNA YA KUISHI MSIGOMBANE

UHUSIANO wowote wa mapenzi huwa unakuwa na changamoto kwani hukutanisha watu wawili ambao wamelelewa katika maadili tofauti. Yawezekana mmoja anaweza...

READ MORE

JINSI YA KUMJUA MTOTO MWENYE TUNDU KWENYE MOYO

Kama kawaida safu hii huwa tunajadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi juu ya kuimarisha afya...

READ MORE

UNAJUA MAANA YA KUTA NNE ZA CHUMBA KATIKA

Hakuna ubishi kwamba hisia za mapenzi hasa pale unapompata mtu sahihi, huufurahisha na kuuburudisha sana moyo. Lakini wakati huohuo, hakuna...

READ MORE

UNAMSAIDIAJE MWENZA WAKO KUBADILIKA?

DUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu...

READ MORE

MOTO HAUFUNIKWI NA SHUKA

HALOOOO eeeehhh na utanyauka mwaka huu kama siyo kukauka kabisa! Aliyekwambia kandambili yapigwa kiwi nani? Muone jibaba zima ndevu zimejikunja...

READ MORE

MADHARA YA PUMU KWA WAJAWAZITO

Tafiti kadhaa zimeonesha kuwa takribani theluthi moja ya wajawazito wenye pumu hupata nafuu kipindi cha ujauzito, theluthi nyingine hupata matatizo...

READ MORE

UKIMPENDA KWA MALI NA PESA ZAKE, HAKIKA NDOA UTAIJUTIA!

WAKATI fulani huwa najiuliza kwa nini tunakuwa na wapenzi, kwa nini mapenzi yakawepo? Kwa nini tunaoa ama kuolewa? Kwa nini...

READ MORE

JINSI YA KUEPUKA MIMBA ZISIZOTARAJIWA-2

WIKI iliyopita nilianza kuelezea vipengele kadhaa kuhusiana na makala haya na wiki hii nitamalizia. DALILI ZA KUPEVUKA YAI NI ZIPI?...

READ MORE

KWANINI WANAUME WANAPENDA TENDO NA SIYO KUOA

UNA sababu maelfu za kusoma XXLOVE. Kwa kadiri ya uwezo, tunakupa dawa kamili ya kile ambacho kinasumbua katika masuala ya...

READ MORE

UKO MBALI NA MPENZI WAKO ? ZINGATIA HAYA

KARIBU mpenzi msomaji wa Mahaba Exlusive kwa ajili ya mada hii mujarabu inayozungumzia namna bora ya kuweza kudumisha uhusiano wa...

READ MORE

UNAMALIZAJE MOGOGORO NA MPENZI WAKO ?

LEO tunaangalia mada muhimu sana katika mapenzi, nachambua juu ya migogoro ambayo inaweza kutokea kati yako na mwenzio, je, unaimalizaje?...

READ MORE

UNAUHAKIKA ANAKUPENDA KWA DHATI

ALHAMISI nyingine imewadia ambapo tumekutana katika uwanja huu, ambao tunajifunza mambo mbalimbali kuhusu uhusiano. Naamini ukurasa huu unakusaidia kukuza ufahamu...

READ MORE

SABABU WANAWAKE WAZURI KUTOOLEWA ZAANIKWA

WANAWAKE wengi warembo au wazuri husalia peke yao na kufa katika hali hiyo kutokana na sababu mbalimbali, Risasi Mchanganyiko limedokezwa. ...

READ MORE

SHOGA USIWE JUU JUU KAMA NYAMA YA BUCHANI

 UNANISHA-NGAA wakati umeshindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti maji weyeee! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga na...

READ MORE

OMBA, SALI UMPATE MUME MWENYE TABIA HIZI 6!

WIKI hii nitazu-ngumzia sifa 6 za mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia...

READ MORE

UTAWEZAJE KUKAMATA MWANAUME ULIYEMPENDA-3

UKWELI ni kwamba wanawake wakiwapenda wanaume hubaki na mateso mioyoni mwao. Hii ni kwa sababu ni vigumu kumtokea mwanaume moja...

READ MORE

MFANYE MUMEO AWAHI NYUMBANI

SIPENDI na wala sitaki kusikia kwani unamkosesha raha mtoto wa mwenzio, kuku wako mwenyewe kwa nini akushikie manati. Kwa nini...

READ MORE

DONDOO MUHIMU ZA KUNOGESHA PENZI KWA WANANDOA

KWANZA namshukuru Mungu kwa kunijaalia afya njema na pia kwa kunipa nguvu ya kuandika hiki ninachokusudia. Ungana nami ili ujifunze...

READ MORE

FAHAMU AINA ZA UGUMBA (INFERTILITY); KUJIKINGA-2

 WIKI iliyopita wakati tunaanza mada hii, tuliona maana ya ugumba na aina zake. Ambapo kama mtakumbuka pia nilieleza sababu zinazosababisha...

READ MORE

KILA SIKU UNAKIMBIWA NA WANAWAKE, UMEGUNDUA SABABU?

LET’S Talk About Love ni kwa ajili ya marafiki wote. Wanaume na wanawake, ila kiukweli mada nyingi huegemea zaidi kwa...

READ MORE

NIPE , NIKUPE NDO’ UTAMU WA PENZI!

NI IJUMAA nyingine tulivu kabisa mpenzi msomaji tunakutana tena kwenye uwanja wetu maridhawa kabisa kupeana elimu ya uhusiano baada ya...

READ MORE

PUNGUZA MAJI UGALI UIVE

NASHUKURU kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya utaratibu wa maisha wa...

READ MORE

VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUPUNGUZA UZITO/UNENE !

MOJA kati ya matatizo yanayowakumba watu wengi kwa kizazi cha sasa ni tatizo la uzito. Tatizo hili limekuwa chanzo cha...

READ MORE

UKIMPATA MTU SAHIHI, MSHIKILIE KWELI KWELI

Moja kati ya kosa kubwa ambalo watu wengi wanalifanya ni kutothamini hisia. mahusiano mengi yamevunjika kwa sababu tu ya mmoja...

READ MORE

MPENZI WAKO ANAKUOMBA SANA FEDHA ?

 HII INAKUHUSU Ipo dhana iliyojengeka kwenye vichwa vya watu wengi, wanaume kwa wanawake kwamba unapokuwa na mpenzi ambaye mara kwa...

READ MORE

MAGONJWA MAPYA YA ZINAA AMBAYO NI TISHIO

KWA SASA Magonjwa mapya huibuka kila uchao na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao. Katika makala haya ninakuletea...

READ MORE

UTAWEZAJE KUMKAMATA MWANAUME ULIYEMPENDA

HISIA za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo. Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda!...

READ MORE

 ASALI HAIONJWI KWA JIRANI

NIMEKUJA tena shangingi wa mashangingi wote wa mjini, shangingi lililopigana vita na kuwa sugu la kuwafunda wengi.   Habari zenu,...

READ MORE

MAMBO YAKUZINGATIA IWAPO UNATAKA KUSHIKA MIMBA

WanaWake wengi wanapenda kushika mimba lakini baadhi yao hawashiki. Sio kwa mapenzi yao, hivyo leo tutashauri nini cha kufanya ili...

READ MORE

UKIMCHAGUA MWENZA KWA STAILI HII, IMEKULA KWAKO!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba Mungu ameendelea kukupa ulinzi. Pia niwatakie kila la heri...

READ MORE

KUNA VIUMBE WA AJABU WAISHIO ANGANI -10

SASA ENDELEA… Katika kufanya utafiti inaelezwa kwamba wanasayansi waligundua kuwa kuna maisha nje ya Sayari ya Dunia katika Sayari ya...

READ MORE

HATA ‘SINGLENDI’ NI NGUO YA NDANI

HALOOOOO EEEHHHH wanakwambia raha ya tembele liwe na mafuta mengi, upo nyonyo! Mjini mjini tu kama umezoea maghorofa wenzako tumezoea...

READ MORE

USIJIENDEKEZE, USIPOANGALIA UTAKUFA BURE KWA WIVU

ASSALAM Alaikum! Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nawe kwenye safu yetu hii ya Love Zone. Tumshukuru Muumba...

READ MORE

UKIONA YUKO HIVI , JUA ANAKUPENDA KWA DHATI

NI JUMATATU nyingine mpenzi msomaji Mungu ametujalia uzima tunakutana kwenye eneo letu mahsusi kwa ajili ya kupeana elimu ya masuala...

READ MORE

JINSI YA KUFURAHIA FARAGHA!

U ZURI wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifuarahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na...

READ MORE

SHOGA JEMBE LAKO, AKULIMIE NANI?

HE he he heeeeiya, acha nicheke miye Anti Naa mwana wa mashabiki, mjukuu wa maiki! Shoga hivi unajua kuna vitu...

READ MORE