HAKUNA kitu kinauma kama kuachwa. Anayeachwa huwa anakuwa hayupo tayari kukubali matokeo. Aliyemuacha mwenzake anakuwa amejiandaa wakati mwenzake hajajiandaa. Ni...
READ MOREKuna aina fulani ya magonjwa ambayo hupatikana katika familia, mengine yanayotokana na kurithi na mengine kwa sababu familia hushiriki mazingira...
READ MOREWIKI iliyopita nilileta mada hii kwenu na kwa kweli mwitikio wake umekuwa mkubwa hivyo ngoja nimalizie ujumbe wangu niliolenga kuufikisha....
READ MOREUHUSIANO wowote wa mapenzi huwa unakuwa na changamoto kwani hukutanisha watu wawili ambao wamelelewa katika maadili tofauti. Yawezekana mmoja anaweza...
READ MOREKama kawaida safu hii huwa tunajadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi juu ya kuimarisha afya...
READ MOREHakuna ubishi kwamba hisia za mapenzi hasa pale unapompata mtu sahihi, huufurahisha na kuuburudisha sana moyo. Lakini wakati huohuo, hakuna...
READ MOREDUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu...
READ MOREHALOOOO eeeehhh na utanyauka mwaka huu kama siyo kukauka kabisa! Aliyekwambia kandambili yapigwa kiwi nani? Muone jibaba zima ndevu zimejikunja...
READ MORETafiti kadhaa zimeonesha kuwa takribani theluthi moja ya wajawazito wenye pumu hupata nafuu kipindi cha ujauzito, theluthi nyingine hupata matatizo...
READ MOREWAKATI fulani huwa najiuliza kwa nini tunakuwa na wapenzi, kwa nini mapenzi yakawepo? Kwa nini tunaoa ama kuolewa? Kwa nini...
READ MOREWIKI iliyopita nilianza kuelezea vipengele kadhaa kuhusiana na makala haya na wiki hii nitamalizia. DALILI ZA KUPEVUKA YAI NI ZIPI?...
READ MOREUNA sababu maelfu za kusoma XXLOVE. Kwa kadiri ya uwezo, tunakupa dawa kamili ya kile ambacho kinasumbua katika masuala ya...
READ MOREKARIBU mpenzi msomaji wa Mahaba Exlusive kwa ajili ya mada hii mujarabu inayozungumzia namna bora ya kuweza kudumisha uhusiano wa...
READ MORELEO tunaangalia mada muhimu sana katika mapenzi, nachambua juu ya migogoro ambayo inaweza kutokea kati yako na mwenzio, je, unaimalizaje?...
READ MOREALHAMISI nyingine imewadia ambapo tumekutana katika uwanja huu, ambao tunajifunza mambo mbalimbali kuhusu uhusiano. Naamini ukurasa huu unakusaidia kukuza ufahamu...
READ MOREWANAWAKE wengi warembo au wazuri husalia peke yao na kufa katika hali hiyo kutokana na sababu mbalimbali, Risasi Mchanganyiko limedokezwa. ...
READ MOREUNANISHA-NGAA wakati umeshindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti maji weyeee! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga na...
READ MOREWIKI hii nitazu-ngumzia sifa 6 za mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia...
READ MOREUKWELI ni kwamba wanawake wakiwapenda wanaume hubaki na mateso mioyoni mwao. Hii ni kwa sababu ni vigumu kumtokea mwanaume moja...
READ MORESIPENDI na wala sitaki kusikia kwani unamkosesha raha mtoto wa mwenzio, kuku wako mwenyewe kwa nini akushikie manati. Kwa nini...
READ MOREKWANZA namshukuru Mungu kwa kunijaalia afya njema na pia kwa kunipa nguvu ya kuandika hiki ninachokusudia. Ungana nami ili ujifunze...
READ MOREWIKI iliyopita wakati tunaanza mada hii, tuliona maana ya ugumba na aina zake. Ambapo kama mtakumbuka pia nilieleza sababu zinazosababisha...
READ MORELET’S Talk About Love ni kwa ajili ya marafiki wote. Wanaume na wanawake, ila kiukweli mada nyingi huegemea zaidi kwa...
READ MORENI IJUMAA nyingine tulivu kabisa mpenzi msomaji tunakutana tena kwenye uwanja wetu maridhawa kabisa kupeana elimu ya uhusiano baada ya...
READ MORENASHUKURU kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya utaratibu wa maisha wa...
READ MOREMOJA kati ya matatizo yanayowakumba watu wengi kwa kizazi cha sasa ni tatizo la uzito. Tatizo hili limekuwa chanzo cha...
READ MOREMoja kati ya kosa kubwa ambalo watu wengi wanalifanya ni kutothamini hisia. mahusiano mengi yamevunjika kwa sababu tu ya mmoja...
READ MOREHII INAKUHUSU Ipo dhana iliyojengeka kwenye vichwa vya watu wengi, wanaume kwa wanawake kwamba unapokuwa na mpenzi ambaye mara kwa...
READ MOREKWA SASA Magonjwa mapya huibuka kila uchao na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao. Katika makala haya ninakuletea...
READ MOREHISIA za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo. Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda!...
READ MORENIMEKUJA tena shangingi wa mashangingi wote wa mjini, shangingi lililopigana vita na kuwa sugu la kuwafunda wengi. Habari zenu,...
READ MOREWanaWake wengi wanapenda kushika mimba lakini baadhi yao hawashiki. Sio kwa mapenzi yao, hivyo leo tutashauri nini cha kufanya ili...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba Mungu ameendelea kukupa ulinzi. Pia niwatakie kila la heri...
READ MORESASA ENDELEA… Katika kufanya utafiti inaelezwa kwamba wanasayansi waligundua kuwa kuna maisha nje ya Sayari ya Dunia katika Sayari ya...
READ MOREHALOOOOO EEEHHHH wanakwambia raha ya tembele liwe na mafuta mengi, upo nyonyo! Mjini mjini tu kama umezoea maghorofa wenzako tumezoea...
READ MOREASSALAM Alaikum! Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nawe kwenye safu yetu hii ya Love Zone. Tumshukuru Muumba...
READ MORENI JUMATATU nyingine mpenzi msomaji Mungu ametujalia uzima tunakutana kwenye eneo letu mahsusi kwa ajili ya kupeana elimu ya masuala...
READ MOREU ZURI wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifuarahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na...
READ MOREHE he he heeeeiya, acha nicheke miye Anti Naa mwana wa mashabiki, mjukuu wa maiki! Shoga hivi unajua kuna vitu...
READ MORE