JUMATATU nyingine mpenzi msomaji wangu tunakutana kwenye eneo letu zuri la kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Natumai umzima wa...
READ MORENIMEWAHI kueleza hapa kwamba hakuna kinachoumiza moyo kama kuishi na mpenzi asiye mwaminifu na leo nasisitiza, kama kweli unampenda hebu...
READ MOREKILA mmoja anapenda kuwa na mwenzi wa maisha yake yote. Apendwe. Ampende. Hadi kifo kitakapowatenganisha. Ni hisia stahiki kabisa kwa...
READ MOREPAMBEEEE shoga wanakwambia ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe ati! Wareee reeeeee! Maskini hana mpambe na mjini hulali njaa...
READ MOREMAPENZI ya sasa yamejaa sarakasi nyingi sana, kwa yule aliyebahatika kuingia kwenye uhusiano anatakiwa kuwa makini kuhakikisha mapenzi hayamtibulii maisha...
READ MOREMOJA kati ya mtihani mkubwa ambao watu wengi huwa wanafeli duniani ni ule wa kupata mafanikio na kuwakumbuka wale ambao...
READ MOREUNANISHA-NGAA wakati umes-hindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga, upo nyonyo? ...
READ MOREMUNGU ni mwema sana, ni Jumatatu nyingine tunakutana kwenye eneo hili maridhawa la kupeana darasa kuhusiana na masuala ya uhusiano....
READ MOREKWA hakika Mungu ni mwema. Tunakutana tena Jumamosi nyingine kwenye kilinge chetu cha kupeana elimu ya masuala ya uhusiano. Kama...
READ MOREHAKUNA kitu kinachoumiza moyo kama unapogundua kwamba uhusiano uliopo ndani yake, unaelekea ukingoni. Mmeishi pamoja kwa muda mrefu, mmeoneshana mapenzi...
READ MOREKWENYE ndoa hizi ambazo wengi hutamani kuziingia kuna changamoto nyingi. Hii inatokana na jinsi ambavyo wanandoa wenyewe wanashindwa kubaini matatizo...
READ MOREKAMA nak-uona shoga yangu ulivyobetua macho juu kama unaangalia mkungu wa ndizi mbivu, utashanga sana na mwezi dume ndiyo huo...
READ MOREMPENZI msomaji wangu, wiki iliyopita nilipata barua pepe kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu aliyejitambulisha kwa jina moja la Joanitha. Aliniandikia...
READ MOREHABARI yako msomaji wa kona hii! Ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaendelea na majukumu yako ya kila siku....
READ MORERAHA ya mapenzi ni wapendanao kupendana kwa dhati. Japo mara nyingi hutokea watu wanaoana ikiwa mmoja wao hampendi sana mwenzake...
READ MOREBINADAMU bwana! Hata ukiogelea watasema unawatimulia vumbi, haloooo ehhhhh! Unashanga, hebu kashangae basi memori kadi ndogo lakini inailiza sabuufa! Heheiyaaaa! Haya...
READ MOREMAISHA yana changamoto nyingi sana ambazo unatakiwa uzitatue kabla hazijayaathiri maisha yako. Huna sababu ya kuchanganyikiwa eti kwa kuwa mke...
READ MOREMARAFIKI karibuni katika safu yetu hii ya XXLove ambayo hutupa maarifa kuhusu uhusiano na mapenzi. Siku zinayoyoma, zimebaki siku chache...
READ MOREZIMEBAKI wiki chache kabla ya kuuaga mwaka 2018 na kuingia Mwaka Mpya wa 2019! Ni suala la kila mmoja wetu...
READ MORENI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri! Ni wiki nyingine tunapokutana jamvini, ikiwa ni wiki ya kwanza ya mwezi...
READ MOREKAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia...
READ MOREKAMPUNI ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited nilikuwa naisikia tangu miaka ya 90 mwishoni, lakini James Rugemalira sikuwa namfahamu...
READ MORENI WIKI NYINGINE tulivu kabisa tunakutana kupitia ukurasa huu nikiamini kwamba Mungu amekupa nafasi nyingine ya kuendelea kuishi. Hili ni...
READ MOREHAKUNA kitu kinauma kama usaliti. Usaliti ni jambo baya. Mwenzi wako anapokusaliti halafu ukagundua, kamwe huwezi kuwa na amani ya...
READ MORENASHANGA bia yenyewe moja lakini asubuhi na wewe unakimbilia mchemsho wa nini? Paaaambeeee shoga, usione simba kaloa na mvua ukasema...
READ MORENAMSHUKURU Mungu kwa kunifanya niione wiki hii nikiwa mzima wa afya huku nikiendelea vyema na shughuli zangu za kila siku...
READ MORENAKUSHUKURU mpendwa msomaji wangu ambaye umetumia muda wako ‘kushea’ nami kuhusu mada hii kama tulivyoianza wiki iliyopita. Nimepokea meseji nyingi...
READ MORENAMSHUKURU Mungu kwa mara nyingine tena kwa kunijalia fursa hii adhimu ya kuzungumza nanyi wapenzi wasomaji wa safu hii. Hakika...
READ MOREDUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi sana katika masuala ya mahusiano. Huyu anampenda yule, mwenzake hampendi. Anayemkataa mwenzake naye anampenda...
READ MOREALHAMISI nyingine, tunakutana kwenye darasa letu la masuala ya mahusiano. Ni vyema kuyazungumza na kuyafanyia kazi ili mahusiano yetu yazidi...
READ MORESHOGAAA eeehh haya sasa sema mwenyewe, ulijifanya hodari wa kupakua kumbe kupika kwenyewe huwezi, haloooo eeeehhh na bado, mwaka ndo...
READ MOREMUNGU ni mwema kila wakati! Alhamisi nyingine tunakutana kwenye kilinge cha mahaba. Tunakutana kupeana elimu, kufunguana mawazo juu ya masuala...
READ MOREOHH Anti Naa siku hizi hachambi sana kama zamani, komaaa! Aliyekwambia hii kolamu ya kuchamba nani? Hee heeeiyaaaaa! Waswahili wanakwambia...
READ MOREASSALAM alaikum mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Ni matumaini yangu kwamba kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu umzima bukheri wa...
READ MORENI Jumatatu nyingine, tumejaliwa na Mwenyezi Mungu, nami nakukaribisha jamvini mdau tupate elimu ya mapenzi na maisha kwa jumla. Kama kichwa...
READ MOREMAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo...
READ MORET ENDO la ndoa (kwa wanandoa) si tu linatumika kuboresha uhusiano kati ya mume na mke bali pia ni dawa...
READ MOREWEEEEER-AAAAA shoga yangu! Unaambiwa gari la kuazima haliwezi kukuishia mafuta na utatembea hadi umalize soli za viatu lakini huwezi kukutana...
READ MOREKATIKA uhusiano wa kimapenzi, kumpenda mtu ni jambo la kwanza na uliyempenda kukupenda wewe ni jambo la pili na jambo...
READ MOREDUNIA ya wapendanao kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka...
READ MORE