×

Tag: Makala

JINSI YA KUWAEPUKA MATAPELI WA MAPENZI

JUMATATU nyingine mpenzi msomaji wangu tunakutana kwenye eneo letu zuri la kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Natumai umzima wa...

READ MORE

ANAKUTESA KWA KUKOSA UAMINIFU? FANYA HAYA KUMDHIBITI

NIMEWAHI kueleza hapa kwamba hakuna kinachoumiza moyo kama kuishi na mpenzi asiye mwaminifu na leo nasisitiza, kama kweli unampenda hebu...

READ MORE

KWA NINI WACHUMBA WANAKUPIGA KIBUTI KILA MARA ?-2

KILA mmoja anapenda kuwa na mwenzi wa maisha yake yote. Apendwe. Ampende. Hadi kifo kitakapowatenganisha. Ni hisia stahiki kabisa kwa...

READ MORE

MGOMBA HAUZAI EMBE

PAMBEEEE shoga wanakwambia ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe ati! Wareee reeeeee! Maskini hana mpambe na mjini hulali njaa...

READ MORE

IJUE SIRI NA MADHARA YA WAPENZI KUPIGA PICHA ZA UTUPU !

MAPENZI ya sasa yamejaa sarakasi nyingi sana, kwa yule aliyebahatika kuingia kwenye uhusiano anatakiwa kuwa makini kuhakikisha mapenzi hayamtibulii maisha...

READ MORE

MONDI FANYA YOTE LAKINI… MHESHIMU SANA WEMA

MOJA kati ya mtihani mkubwa ambao watu wengi huwa wanafeli duniani ni ule wa kupata mafanikio na kuwakumbuka wale ambao...

READ MORE

CHIPS HAZINA UKOKO

UNANISHA-NGAA wakati umes-hindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga, upo nyonyo?  ...

READ MORE

MAKOSA 3 HATARI WANAYOKOSEA WANAUME KWA MWANAMKE

MUNGU ni mwema sana, ni Jumatatu nyingine tunaku­tana kwenye eneo hili maridhawa la kupeana darasa kuhusiana na masuala ya uhusiano....

READ MORE

MAMBO YA KUMFANYIA MWANAUME WAKO AWE NA FURAHA

KWA hakika Mungu ni mwema. Tunakutana tena Jumamosi nyingine kwenye kilinge chetu cha kupeana elimu ya masuala ya uhusiano. Kama...

READ MORE

MAMBO YA KUFANYA UNAPOGUNDUA MNAELEKEA MWISHO WA PENZI

HAKUNA kitu kinachoumiza moyo kama unapogundua kwamba uhusiano uliopo ndani yake, unaelekea ukingoni. Mmeishi pamoja kwa muda mrefu, mmeoneshana mapenzi...

READ MORE

JINSI YA KUJIEPUSHA NA MIGOGORO

KWENYE ndoa hizi ambazo wengi hutamani kuziingia kuna changamoto nyingi. Hii inatokana na jinsi ambavyo wanandoa wenyewe wanashindwa kubaini matatizo...

READ MORE

MAHINDI HAYACHOMWI KWA GESI

KAMA nak-uona shoga yangu ulivyobetua macho juu kama unaangalia mkungu wa ndizi mbivu, utashanga sana na mwezi dume ndiyo huo...

READ MORE

KAMA HUNA BAHATI YA KUPENDWA , KWANINI UCHANGANYIKIWE?

MPENZI msomaji wangu, wiki iliyopita nilipata barua pepe kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu aliyejitambulisha kwa jina moja la Joanitha.  Aliniandikia...

READ MORE

AMEVUNJA MOYO WAKO? SIMAMA, JITHAMINI

HABARI yako msomaji wa kona hii! Ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaendelea na majukumu yako ya kila siku....

READ MORE

FANYENI HAYA MDUMISHE PENZI LENU

RAHA ya mapenzi ni wapendanao kupendana kwa dhati. Japo mara nyingi hutokea watu wanaoana ikiwa mmoja wao hampendi sana mwenzake...

READ MORE

CHEZEA KOKI YA MAJI, USICHEZEE PESA

BINADAMU bwana! Hata ukiogelea watasema unawatimulia vumbi, haloooo ehhhhh! Unashanga, hebu kashangae basi memori kadi ndogo lakini inailiza sabuufa! Heheiyaaaa! Haya...

READ MORE

KWA VITU KONKI VYA CHUMBANI KWENYE NDOA, KUZINGATIA HAYA!

MAISHA yana changamoto nyingi sana ambazo unatakiwa uzitatue kabla hazijayaathiri maisha yako. Huna sababu ya kuchanganyikiwa eti kwa kuwa mke...

READ MORE

UNAOMBAJE MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ?

MARAFIKI karibuni katika safu yetu hii ya XXLove ambayo hutupa maarifa kuhusu uhusiano na mapenzi. Siku zinayoyoma, zimebaki siku chache...

READ MORE

TATHMINI UHUSIANO WAKO, 2018 UNAKUACHAJE, 2019 UNAINGIAJE?

ZIMEBAKI wiki chache kabla ya kuuaga mwaka 2018 na kuingia Mwaka Mpya wa 2019! Ni suala la kila mmoja wetu...

READ MORE

UKIONA DALILI HIZI, TAMBUA WEWE SIYO CHAGUO LAKE -2

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri! Ni wiki nyingine tunapokutana jamvini, ikiwa ni wiki ya kwanza ya mwezi...

READ MORE

SUFURIA YA KUAZIMA HAIUNGUZI MBOGA

KAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia...

READ MORE

NAMKUMBUKA RUGEMALIRA YULE; NAMSIKITIKIA HUYU!

KAMPUNI ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited nilikuwa naisikia tangu miaka ya 90 mwishoni, lakini James Rugemalira sikuwa namfahamu...

READ MORE

KWANINI UKUNALI KUTESEKA KISA ETI UNAMPENDA?

NI WIKI NYINGINE tulivu kabisa tunakutana kupitia ukurasa huu nikiamini kwamba Mungu amekupa nafasi nyingine ya kuendelea kuishi. Hili ni...

READ MORE

SABABU KUBWA ZA WANAUME , WANAWAKE KUSALITI !

HAKUNA kitu kinauma kama usaliti. Usaliti ni jambo baya. Mwenzi wako anapokusaliti halafu ukagundua, kamwe huwezi kuwa na amani ya...

READ MORE

BAKULI HALICHAGUI MBOGA

NASHANGA bia yenyewe moja lakini asubuhi na wewe unakimbilia mchemsho wa nini? Paaaambeeee shoga, usione simba kaloa na mvua ukasema...

READ MORE

KUFITINISHA WANAOPENDANA ILI WAACHANE FAIDA YAKE NINI?

NAMSHUKURU Mungu kwa kunifanya niione wiki hii nikiwa mzima wa afya huku nikiendelea vyema na shughuli zangu za kila siku...

READ MORE

AMEUVUNJA MOYO WAKO NA KUKUACHA NA MAJONZI ? SOMA HAPA- 2

NAKUSHUKURU mpendwa msomaji wangu ambaye umetumia muda wako ‘kushea’ nami kuhusu mada hii kama tulivyoianza wiki iliyopita. Nimepokea meseji nyingi...

READ MORE

NI RAHISI KUWA NA MCHUMBA NA USIFANYE NAYE MAPENZI ?

NAMSHUKURU Mungu kwa mara nyingine tena kwa kunijalia fursa hii adhimu ya kuzungumza nanyi wapenzi wasomaji wa safu hii. Hakika...

READ MORE

USISEME HUNA BAHATI, UMEJIKAGUA VYA KUTOSHA?

DUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi sana katika masuala ya mahusiano. Huyu anampenda yule, mwenzake hampendi. Anayemkataa mwenzake naye anampenda...

READ MORE

UKIMFANYIA HAYA MWANAUME UGOMVI MTAUSIKIA KWA MAJIRANI

ALHAMISI nyingine, tunakutana kwenye darasa letu la masuala ya mahusiano. Ni vyema kuyazungumza na kuyafanyia kazi ili mahusiano yetu yazidi...

READ MORE

MC WA MSIBANI HAPIGIWI MAKOFI

SHOGAAA eeehh haya sasa sema mwenyewe, ulijifanya hodari wa kupakua kumbe kupika kwenyewe huwezi, haloooo eeeehhh na bado, mwaka ndo...

READ MORE

KUNA BINADAMU NA BINADAMU WANYAMA KWENYE MAHUSIANO, JIFUNZE

MUNGU ni mwema kila wakati! Alhamisi nyingine tunakutana kwenye kilinge cha mahaba. Tunakutana kupeana elimu, kufunguana mawazo juu ya masuala...

READ MORE

SAA YA UKUTANI HAIVALIWI MKONONI

OHH Anti Naa siku hizi hachambi sana kama zamani, komaaa! Aliyekwambia hii kolamu ya kuchamba nani? Hee heeeiyaaaaa! Waswahili wanakwambia...

READ MORE

KAMA MBABAISHAJI KWANINI, UNG’ANG’ANIE PENZI LAKE

ASSALAM alaikum mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Ni matumaini yangu kwamba kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu umzima bukheri wa...

READ MORE

JINSI YA KUMTEKA ASIKUACHE !

NI Jumatatu nyingine, tumejaliwa na Mwenyezi Mungu, nami nakukaribisha jamvini mdau tupate elimu ya mapenzi na maisha kwa jumla.  Kama kichwa...

READ MORE

KUNA HATUA KABLA YA KUZAMA PENZINI USIKOSEE!

MAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo...

READ MORE

MBINU ZA KUMFURAHISHA MUWAPO FARAGHA

T ENDO la ndoa (kwa wanandoa) si tu linatumika kuboresha uhusiano kati ya mume na mke bali pia ni dawa...

READ MORE

KUKU MWEUSI HAFUKUZWI USIKU

 WEEEEER-AAAAA shoga yangu! Unaambiwa gari la kuazima haliwezi kukuishia mafuta na utatembea hadi umalize soli za viatu lakini huwezi kukutana...

READ MORE

DALILI ZA MPENZI ASIYEKUPENDA

KATIKA uhusiano wa kimapenzi, kumpenda mtu ni jambo la kwanza na uliyempenda kukupenda wewe ni jambo la pili na jambo...

READ MORE

KUNA MAISHA BAADA YA KUUMIZWA, YATAFUTE HIVI !

DUNIA ya wapendanao kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka...

READ MORE