×

Tag: Makonda

Mbowe: Siendi Polisi kwa Wito wa Makonda

DODOMA: Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Mzee wa Upako Kayasema Haya Baada ya Gwajima Kutajwa Sakata la ‘Unga’

DAR ES SALAAM: Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameshauri kuwapo kwa utaratibu maalumu wakati...

READ MORE

Makonda Atibua 40 ya Mdogo wa Tiffah…

Na WAANDISHI WETU| AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Ikiwa imebakia saa 72 ifike 40 ya mtoto wa pili wa Mbongo...

READ MORE

Manji Aripoti Kituo Kikuu cha Polisi, Dar

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga na Diwani wa Kata ya Mbagala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji,...

READ MORE

Makonda Aitwa Bungeni Kujieleza Kwa Madai ya Kutoa Kauli za Dharau Dhidi ya Bunge

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja limewaita mbele ya Kamati yake ya Haki, Maadili na Madaraka...

READ MORE

Manji Amcharukia Makonda Kutajwa Sakata la Madawa

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga na Diwani wa Kata ya Mbagala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Yusuf Manji amemcharukia...

READ MORE

Sakata la Madawa: Kauli ya Chadema Baada ya Makonda Kumtaja Mbowe

DAR ES SALAAM: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema muendelezo wa kukamatwa kwa viongozi wa chama hicho hakuwayumbishi bali...

READ MORE

Madai: Wema Apelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali

Na Musa Mateja | Global Publishers Taarifa zilizotufikia zimeeleza kuwa, msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu hajafikishwa mahakamani Kisutu leo...

READ MORE

Sakata la Madawa: Majina 65 Aliyoyataja Makonda Haya Hapa

MKUU wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameanza kwa Kumshukuru Rais wa Jamuhuri. Paul Makonda asema anataka wauzaji...

READ MORE

Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga’, Wamo Mbowe, Manji, Idd Azzan na Gwajima

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja majina ya watuhumiwa wengine 65 wa madawa...

READ MORE

Sakata la Unga… Watuhumiwa Wapewa Dhamana na Masharti Matatu Mahakamani

  DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam imewaachia kwa dhamana wasanii 13 katika...

READ MORE

RAY C Amuunga Mkono Makonda Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya

MSANII wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila maarufu kama‘Ray C’ Kiuno Bila Mfupa, amejitokeza kumuunga mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar...

READ MORE

Kala Pina: Makonda Tobo la Unga hili Hapa!

Na BONIPHACE NGUMIJE| UWAZI| SHOWBIZ SAKATA la mastaa na watu mbalimbali wakiwemo askari 15 wanaohusishwa katika matumizi pamoja na biashara...

READ MORE

Makonda; Hata Kama ni Vigogo; Wataje Umma Upo Nyuma Yako

MAKALA: NA ELVAN STAMBULI | UWAZI | NIONAVYO MIMI WIKI iliyopita tulimsikia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akisema...

READ MORE

Kisa Wema Kulala Lupango, Mama Wema Hali Mbaya….

Na WAANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Hali ni tete! Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Sakata la ‘Unga’: Makonda Ametoa Siku 10 kwa Wahusika Kujisalimisha, Baada ya Hapo…!

  DAR ES SALAAM: LEO Jumatatu, Februari 6, 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwa na...

READ MORE

Rais Magufuli Apigilia Msumari Vita ya Makonda Dhidi ya Watumiaji na Wauzaji wa Dawa za Kulevya

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujitosa kwenye vita ya...

READ MORE

Makonda Angekuja Mapema… Wakali Hawa Wasingepotea

GUMZO kubwa kunako burudani nchini ni juu ya mastaa wa Bongo kutuhumiwa kuhusika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wikiendi...

READ MORE

Mpoto Afunguka Sakata la Madawa ya Kulevya

  MWANAMUZIKI wa muziki wa asili Bongo, Mrisho Mpoto, amefunguka kuhusu ishu ya madawa ya kulevya kwa kueleza dawa hizo...

READ MORE

Sakata la Madawa ya Kulevya Lachukua Sura Mpya

DAR ES SALAAM: Kufuatia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Februari 2, 2017 kutaja majina ya askari,...

READ MORE

Video: Wema na Wasanii Wenzake Walivyofika na Kuhojiwa Police Central Ishu ya Madawa

Angalia video ya Wema na Wasanii Wenzake Walivyofika na Kuhojiwa Police Central Ishu ya Madawa, walipotakiwa kuripoti kituoni hapo

READ MORE

Ishu ya Madawa: Afande Sele Amuandikia Ujumbe Makonda, Amtaja Amina Chifupa

Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa siku nyingi Tanzania ambao wamekua wakifatilia pia na ishu za siasa na mengine...

READ MORE

Ishu ya Madawa: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi

WASANII wa Bongo wameitikia wito wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda wa kufika katika Kituo Kikuu cha...

READ MORE

Ditto Afunguka Kutajwa na Makonda Ishu ya Madawa

Msanii wa Bongo fleva anayefanya vyema na ngoma yake ya ‘Moyo Sukuma Damu’, Lameck Ditto amefunguka na kusema yeye hahusiki...

READ MORE

Video: RC Makonda Awataja Wema, TID, Askari Kujihusisha na Mtandao wa Madawa ya Kulevya, Majina Yao Bofya Hapa!

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja Askari wa Jeshi la Polisi pamoja na...

READ MORE

Wanasheria Kutoa Misaada kwa Wananchi Mkoani Dar es Salaam

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akiongea na wanasheria na wanahabari ofisini kwake leo. …Akisisitiza jambo katika...

READ MORE

RC Makonda: Mnasubiria Nitumbuliwe? Mimi Najua Nipo kwaKusudi la Mungu

Dar es Salaam: Baada ya kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusema atamwajibisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

Makonda Kujenga Vituo 20 Vya Kisasa Vya Polisi Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi Kituo cha Polisi cha Tandika, Dar. ..Maongezi yakiendelea...

READ MORE

Makonda Ahimiza Wanafunzi Kusoma Sayansi

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewashauri wanafunzi wa mkoa wake kusoma masomo ya sayansi ili kuendana...

READ MORE

RC Makonda Atoa Siku 14 kwa Ma-DC Kuwaondoa Machinga

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo ametoa siku 14 kwa Wakuu wa Wilaya...

READ MORE

Wito kwa Wakazi Dar Kunywa Dawa za Mabusha, Matende

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Grace Magembe akiongea na wakazi wa Buguruni kabla ya kumkaribisha mkuu wa...

READ MORE

Mfalme wa Morocco Kuwasili Nchini Keshokutwa

MFALME Mohamed VI wa Morocco anatarajiwa kuwasili nchini keshokutwa Oktoba 23 ambapo atapokelewa na Rais John Magufuli. Akizungumza na wanahabari...

READ MORE

Video: RC Makonda Akizindua Muonekano Mpya wa Bodaboda, Dar

Mkuu wa mkoa Paul Makonda akihutubia. Sehemu ya umati ya waendesha bodaboda waliojitokeza.Mmoja wa madereva aliyeshiriki zoezi hilo akiwa kwenye...

READ MORE

Wananchi Waliopo Dar es Saalam Kupatiwa Matibabu Bure

Tangazo linaloonesha taarifa muhimu kuhusu tukio hilo la matibabu bure. Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Saalam iliyo...

READ MORE

Wanamuziki, wadau kukutana na Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda. WANAMUZIKI wa dansi, taarab, Bongo Fleva na wadau wa muziki waishio...

READ MORE

RC Makonda Azindua Umoja wa Wauza Magazeti

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Mawakala Wauza...

READ MORE