×

Tag: masogange

Belle 9: Siwezi Kumsahau Masogange

“Upo mbali na Masogange… Njoo uutulize mtima wange… Upo mbali na Masogange eh… Miaka mingi imepita baby, ila mi sijakuona…...

READ MORE

Mzimu wa Masogange wamtesa Rammy

MWIGIZAJI Rammy Galis amesema bado mzimu wa aliyekuwa video vixen maarufu Bongo, marehemu Agnes Gerald ‘Masogange’ unamtesa.   Rammy amelieleza...

READ MORE

Uwoya Anammisi Masogange Kinoma

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya anammisi kinoma aliyekuwa rafiki yake, marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ na anatamani angekuwepo.  ...

READ MORE

Baba Sonia wa Masogange Afunguka A-Z Maisha ya Mwanae – Video

Ikiwa imepita zaidi ya miezi mitatu tangu aliyekuwa Mwanamitindo maarufu Bongo, Agness Masogange, afariki dunia na kumuacha mtoto mmoja anayeitwa...

READ MORE

HAYA NDIYO MAISHA YA MTOTO WA MASOGANGE

IKIWA imepita miezi kadhaa tangu Video Vixen wa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia na kuzikwa nyumbani kwao Mbeya, mengi...

READ MORE

KILICHOTOKEA MAHAFALI MTOTO WA MASOGANGE

INASIKITISHA sana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya hivi karibuni simanzi kubwa kutawala katika mahafali ya mtoto wa aliyekuwa video queen...

READ MORE

Uwoya: Siwezi Kuifuta Tatuu ya Masogange

MKALI wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya ameeleza juu ya madai ya watu wanaosema kuwa ameifuta tatuu ya aliyekuwa video...

READ MORE

Uwoya Ahofia Mzuka wa Masogange!

MREMBO aliyekuwa shosti mkubwa wa marehemu Agnes Gerald ‘Masogange’, Irene Uwoya, amesema baada ya rafiki yake huyo kufariki, amekuwa akipata...

READ MORE

Aliyezaa na Masogange Aanika Yaliyofichika

NI siku 20 sasa tangu aliyekuwa video queen maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ aage dunia. Bado taswira yake haiondoki kwenye...

READ MORE

Wosia wa Kifo Chake, Wema Kuzikwa Kikristo?

KUFUATIA wosia wa kifo chake ulioeleza namna anavyotaka mazishi yake yawe siku atakapokufa, staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Wema...

READ MORE

POLISI WAFUNGUKIA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA KIFO CHA MASOGANGE

WAKATI kukiwa na shauku kubwa ya kujua sababu za mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ kufanyiwa uchunguzi wa kipolisi wakati...

READ MORE

Video za Kukumbukwa za Masogange…Zipo Hapa

NENO Video Vixen lina tafsiri kubwa katika sanaa ya muziki hasa wa Hip Hop. Kwa neno jepesi, Video Vixen ni...

READ MORE

Uwoya, Dogo Janja Aikimbia Nyumba ya Masogange

STAA mkali wa filamu Bongo, Irene Uwoya na baby wake Abdul Chende ‘Dogo Janja’ wamefungukia dhamira yao ya kuihama nyumba...

READ MORE

VYETI VIPIMO VYA MASOGANGE VYA VUJA!

WAKATI akitimiza siku tatu kaburini, kijijini kwao, Utengule-Usongwe, Mbalizi jijini Mbeya, vipimo vya afya ya aliyekuwa video queen na msanii...

READ MORE

IMEBAINIKA! SABABU YA KIBA KUMPA DIAMOND ‘NGUMI’ HII HAPA

DAR ES SALAAM: MAMBO ni moto! Licha ya hivi karibuni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kujishusha na kumsalimia...

READ MORE

ALIYEZAA NA MASOGANGE AFUNGUKA MAPYA!

SIKU moja baada ya mazishi ya aliyekuwa mwigizaji wa filamu na video queen maarufu Bongo, Agness Gerald Waya ‘Masogange’ yaliyofanyika...

READ MORE

DINNO: NILIPANGA KUMTUMIA MASOGANGE KWENYE VIDEO YANGU

Kufuatia kifo cha video vixen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’, msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetesa na ngoma yake...

READ MORE

UWOYA: Tatuu ya Masogange Haijaniuma!

STAA mkali wa filamu Bongo, Irene Uwoya amefunguka kuwa ‘tatuu’ aliyoichora kama kumbukumbu kwa rafiki yake kipenzi, video queen maarufu...

READ MORE

Hofu Upya Vifo vya Wasanii

  UPEPO siyo mzuri! Unaweza kutamka maneno hayo kutokana na hali inayoendelea kwa mastaa Bongo baada ya wenzao wanne kufariki...

READ MORE

Young Dee: Masogange Alikuwa Mtu Wa Watu

  MUDA mfupi baada ya mwili wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kuzikwa jijini Mbeya, msanii wa Bongo Fleva, David...

READ MORE

Miwani za Mastaa Zilizotikisa Msiba wa Masogange!

UNAPOMUONA mtu amevaa miwani, awe mwanamke au mwanaume, mtoto au mtu mzima ujue huyo ana matatizo ya macho au kavaa...

READ MORE

Siri Wema Kuutosa Msiba wa Masogange Yafichuka!

BAADA ya kuwa gumzo msibani wakati wa kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa video queen kwenye nyimbo mbalimbali za Bongo Fleva,...

READ MORE

Mastaa Jifunzeni Hili Kifo cha Masogange!

KWENU mastaa mbalimbali wa Bongo. Kwa ujumla wenu nawasalimu, uwe muigizaji, mchekeshaji, mwanamuziki au muuza sura kwenye video za wasanii...

READ MORE

MASOGANGE KAUAWA?

WAKATI mwili wa ‘Video Queen’ maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ ukitarajiwa kuzikwa jana nyumbani kwao Utengula, Mbalizi-Mbeya, utata umeibuka juu...

READ MORE

MZEE GERALD: NILIGOMBANA NA MWANANGU AGGY KISA USANII – VIDEO

BABA mzazi wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’, Mzee Gerald Waya amefunguka alivyokuwa akigombana na mwanaye huyo akimsihi aachane na mambo...

READ MORE

Kwaheri Rafiki Yangu Masogange

KWELI kila nafsi itaonja mauti. Bila kujali muonekano wa mtu, cheo chake, ustaa alionao au jinsi alivyokuwa akipendwa na watu,...

READ MORE

Chegge: Sitamsahau Masogange

MKALI wa Ngoma ya Kaitaba, Said Juma ‘Chegge Chigunda’ amesema miongoni mwa vitu ambavyo hatakuja kuvisahau maishani mwake ni pamoja...

READ MORE

MTOTO AWALIZA WAOMBOLEZAJI, MZAZI MWENZA AFUNGUKA MAZITO

MZAZIi mwenzake na marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu uhusiano wake na marehemu, ambapo amesema mawasiliano...

READ MORE

WASANII KWA HUZUNI: TANGULIA MASOGANGE

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva na Bongo Movies wakati wa kuuzika mwili wa aliyekuwa...

READ MORE

KWA HERI MASOGANGE: SIMANZI NA VILIO MAZISHI YA AGNESS – (VIDEO+PICHAZ)

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala miongoni mwa waombolezaji wakati wa kuuzika mwili wa aliyekuwa Video Queen, Agness Gerald ‘Masogange’ katika...

READ MORE

HATIMAYE! MTOTO WA MASOGANGE KUSOMESHWA HADI CHUO KIKUU

MMILIKI wa Shule ya St. Patrick ya Jijini Dar es Salaam, Ndele Mwaselela amejitolea kumsomesha mtoto wa marehemu Agness Gerald...

READ MORE

MASOGANGE AZIDI ‘KUMTESA’ RAMMY GALIS

KUFUATIA msiba wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’, msanii mwenzake Rammy Galis amekuwa mtu wa huzini, kulia na majonzi mazito hasa...

READ MORE

MBALIZI YAFURIKA KUUPOKEA MWILI WA MASOGANGE

MAMIA ya wananchi wakazi wa Utengule, Mbalizi na maeneo ya karibu wamejitokeza kuungana na familia, ndugu, jamaa, marafiki na wasanii...

READ MORE

BELLE 9 AANGUA KILIO BAADA YA KUONA JENEZA LA MASOGANGE

MSANII wa Bongo Fleva Abernego Damian ‘Belle 9’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akiangua kilio mara baada ya kuliona jeneza lenye...

READ MORE

SIMANZI NZITO WASANII WALIPOONA KABURI LA MASOGANGE

HAKIKA ni simanzi, vilio na majonzi baada ya wasanii kuwasili nyumbani kwao marehemu Agness Gerald Masongange na kuliona kaburi mabamo...

READ MORE

MSIBA WA MASOGANGE: HALI ILIVYO NYUMBANI KWA MZEE GERALD

MWILI wa msanii, Agness Gerald ‘Masogange’ tayari umeshawasili nyumbani katika kijiji cha Utengule, Mablizi, mkoani Mbeya tayari kwa taratibu za...

READ MORE

Msiba wa Masogange Wazima Ndoa ya Abdu Kiba

  MSIBA wa aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ aliyefariki Ijumaa iliyopita, umezima tukio kubwa la kufunga ndoa...

READ MORE

BELLE 9 ASIMULIA ALIVYOMPA JINA AGNESS MASOGANGE

MKALI wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle 9′ ndiye ‘aliyembatiza’ jina la Masogange mrembo maarufu wa kuuza sura kwenye video...

READ MORE

Mzee Gelard: Agness Aliniaga Kabla Hajafa, Nikalia!

MZEE Gerald Waya, ambaye ni baba mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Bongo Movies na Model, Agness Gerald  ‘Masogange’, amesema mwanaye...

READ MORE

Diamond na Ali Kiba Walivyokutana Kumuaga Masogange

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni miongoni mwa wasanii waliofika viwanja vya Leaders, Kinondoni, kwa...

READ MORE