×

Tag: masogange

Wasanii Wajitokeza Kumuaga Masogange Leaders (Picha + Video)

WASANII mbalimbali leo wameungana na watu wengine katika kuuaga mwili wa marehemu Agnes Gerald ‘Masogange’ kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni,...

READ MORE

Umati Wa Watu Wajitokeza Kumuaga Masogange Leaders

Mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ ukiwa Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa. Masogange ambaye alikuwa...

READ MORE

Mwili wa Masogange Unapelekwa Leaders Kuagwa

Mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ umeshawekwa kwenye gari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, tayari kwa safari ya kuelekea...

READ MORE

HUYU NDIYE MASOGANGE TUNAYEMJUA

KIFO cha ghafla cha mwa­namitindo au Video Queen wa Bongo Fleva, Agness Ger­ald almaarufu Masogange, kimeibua mshtuko mkubwa. Jana, jioni,...

READ MORE

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha...

READ MORE

FAMILIA: MASOGANGE ATAAGWA KESHO JUMAPILI LEADERS

Msanii aliyekuwa akipamba video za muziki (video queen), Agnes Gerald ‘Masogange’ enzi za uhai wake. BAADA ya wadau wa sanaa...

READ MORE

Shilole Amlilia Masogange, Adai Juzi tu Alimpelekea Oda ya Chakula – Video

Msanii wa filamu na muziki, Shilole, amesema ilikuwa ngumu kwake kuamini kwa mara ya kwanza pale alipopokea taarifa za kifo...

READ MORE

Zamaradi: Niliishi kwa Masogange Sauz, Msiba Umeniumiza Sana – Video

MTANGAZAJI Maarufu wa Televisheni na redio, Zamaradi Mketemea amefunguka na kueleza alivyoguswa na msiba wa msanii Agnes Gerard Masogange aliyefariki...

READ MORE

Steve: Tumependekeza Masogange Aagwe Leaders, Azikwe Mbeya – Video

KIONGOZI wa Chama cha Wasanii Nchini, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ametoa taarifa rasmi ya chama hicho yenye mapendekezo kwa familia...

READ MORE

Alichokisema Wakili wa Masogange Baada ya Taarifa za Msiba – Video

KUFUATIA kifo cha ghafla cha Msanii wa filamu za Kibongo na video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ katika Kituo cha...

READ MORE

Mwili wa Masogange Ukitolewa Hospitali Baada ya Kufariki – Video

Mwili wa Msanii wa filamu za Kibongo na video queen maarufu, Agness Gerald Masogange ukitolewa katika Kituo cha Huduma za...

READ MORE

TANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI KASULU, KIGOMA

Tanzania inatarajia kuungana na nchi zingine duniani kwenye kuadhimisha siku ya Malaria Duniani ambayo ufanyika April 25 kila mwaka.  ...

READ MORE

Breaking News: Masogange Afariki Dunia

Video queen maarufu nchini, Agnes Gerald ‘Masogange’ amefariki dunia hivi punde (leo Aprili 20, 2018) katika Kituo cha Huduma za...

READ MORE

Masogange Sasa Chunga Sana Nyendo Zako!

KWAKO mrembo uliyechipukia kwenye kilinge cha u-video queen, Agness Gerald almaarufu Masogange. Mambo vipi? Habari za siku? Kitambo kidogo sijakutia...

READ MORE

Masogange Hataki Shobo na Mtu

VIDEO queen matata Bongo aliyeshaini kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ ameweka wazi kuwa, baada...

READ MORE

Masogange Akwepa Jela Hukumu Kesi ya Madawa, Alipa Faini – VIDEO

MSANII wa muziki nchini, Agnes Gerald ‘Masogange’ amekwepa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kulipa faini ya Sh. milioni...

READ MORE

Masogange Ahukumiwa Jela kwa Madawa ya Kulevya, Aachiwa – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Tsh. Milioni 1.5, msanii Agnes Gerald...

READ MORE

Jokate Aibuka Kidedea! Mastaa Na Make Up…

ILIKUWA safari ndefu ya mtifuano wa hali ya juu kati ya mastaa kibao kwenye shindano hili lililodumu kwa takribani miezi...

READ MORE

Masogange Hana Muda na Asiyejali Matatizo Yake

VIDEO queen sexy wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ hana muda na mtu ambaye hakujihusisha na na matatizo aliyoyapitia hivyo hajisumbui...

READ MORE

Ujauzito wa Kigogo Wadaiwa Kumficha  Masogange

UBUYU haujawahi kumuacha mtu salama hata siku moja kutokana na pilipili inayowekwa ndani yake kuwasha vilivyo! Muuza nyago mwenye umbo...

READ MORE

Uwoya Adaiwa Kunasa Ujauzito, Ajificha kwa Masogange

  DAR ES SALAAM: Baada ya kusambaa kwa madai kuwa muigizaji Irene Uwoya amenasa ujauzito, imeelezwa kuwa mrembo huyo amejificha...

READ MORE

Masogange Aulaani Mwaka 2017

MUUZA nyago mwenye jina kubwa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange; amefunguka kuwa, hakuna mwaka aliopata misukosuko kama 2017 na kujikuta akishindwa...

READ MORE

Masogange Marufuku Kumnadi Mwanaye

MREMBO aliyejipatia jina kubwa kutokana na kazi yake ya kuuza nyago kwenye video za wanamuziki Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amesema...

READ MORE

Masogange Ashindwa Kujitetea, Hakimu Ampa Onyo (Video)

Kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya inayomkabili Video Queen, Agness Gerald ‘Masogange’ kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini...

READ MORE

Kesi ya Masogange Yakwama Kisutu

Kesi ya kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Masogange: Natamani Kuwa Mchungaji

UKITAJIWA jina la Agness Jerald na kuambiwa ni muuza nyago kwenye video za Kibongo kidogo unaweza kubishana na mimi lakini...

READ MORE

Masogange: Najuta Kuwa Staa

VIDEO queen mwenye umbo tata Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa, hakuna jambo analolijutia kama kuwa staa. Masogange aliliambia Ijumaa...

READ MORE

MAJIRANI WACHARUKA, WAWAVUA NGUO MASTAA!

  ZAMANI maisha ya mastaa wengi wa kike Bongo yalikuwa ni ya mitoko karibu kila siku, usiku kwenda katika kumbi...

READ MORE

‘Masogange’ Ana Kesi ya Kujibu Dawa za Kulevya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’, anayo kesi ya kujibu kwa kudaiwa kutumia dawa...

READ MORE

MKOJO WA MASOGANGE WAKUTWA NA HEROINE!

HATIMAYE kesi inayomkabili mwanadada Agnes Gerald Wire maarufu kwa jina la Masogange akidaiwa kujihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya...

READ MORE

Yaliyojiri Kisutu Kesi ya Agness Masogange

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Julai 25, 2017 imeshindwa kuanza kusikiliza kesi kuhusu kutumia dawa za kulevya inayomkabili video...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Kutumia Dawa za Kulevya Inayomkabili Masogange

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Julai 13, 2017 imekwama kuanza kusikiliza kesi kuhusu kutumia dawa za kulevya inayomkabili...

READ MORE

Mapenzi Yamficha Masogange

VIDEO Queen mwenye figa bomba Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa ukimya wake wa hivi karibuni na kutojichanganya kwa watu...

READ MORE

Mahakama Yatoa Amri Masogange Atiwe Mbaroni

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata msanii, Agnes Gerald maarufu kama Masogange kwa kushindwa kuhudhuria kwenye kesi...

READ MORE

Agness Masogange Mahakamani Tena Leo

Msanii Agnes Gerald ‘Masogangeanatarajiwa kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo wakati kesi yake ya...

READ MORE

Kura Zamgomea Anti Lulu Ijumaa Figa Pomba (IFG)

BAADA ya msanii wa Bongo Muvi ambaye pia ni video queen, Asha Salum ‘Kidoa’ kuchapa lapa wiki iliyopita, wiki hii...

READ MORE

Masogange Apandishwa Kizimbani, Aachiwa kwa Dhamana

Msanii  Agnes Gerald ‘Masogange’ amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka ya kutumia dawa za...

READ MORE

Masikini Ndugu wa Masogange…

Na: MUSA MATEJA|RISASI JUMAMOSI|HABARI Dar es Salaam: Video Queen mwenye umbo ‘matata’ Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’, amesoteshwa rumande na Jeshi...

READ MORE

Yaliyojiri Mahakamani Kisutu Kesi ya Masogange

Ndugu wa Agness Grald ‘ Masogange’, aitwae Efrans akiwa kwenye viunga vya Mahakama ya Kisutu kumsubilia nduguye ambaye ilikuwa afikishwe...

READ MORE

Sekeseke la Madawa Masogange kufikishwa kortini kesho

KAMANDA wa Polisi wa Kanda Maalumu Dar es Salaam, Simon Sirro amesema mtuhumiwa, Agnes Gerald maarufu Masogange na wenzake 15...

READ MORE