×

Tag: Masoud Djuma

Masoud Djuma Arudisha Matumani Dodoma Jiji

UONGOZI wa Dodoma Jiji, umeibuka na kusema una imani timu hiyo itafanya vizuri na kufanikisha malengo yake ikiwa chini ya...

READ MORE

Masoud Djuma atupiwa virago Rwanda

MOTO umemuwakia Kocha msaidizi wa zamani wa Simba, Masoud Djuma baada ya kutimuliwa na AS Kigali kutokana na timu hiyo...

READ MORE

BAADA YA KUONDOKA SIMBA, MASOUD DJUMA APATA TIMU LIGI KUU

ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba, Masoud Djuma amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha AS Kigali inayocheza Ligi Kuu...

READ MORE

Mcameroon Ashangaa Djuma Kutimuliwa Simba

BAADA ya juzi Jumatatu uongozi wa Simba, kuthibitisha kuachana rasmi na aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Mrundi, Masoud Djuma,...

READ MORE

Djuma: Narudi Tena Simba

BAADA ya kumalizana vizuri na mabosi wake wa zamani wa Simba na kubeba kilichokuwa chake, aliyekuwa kocha msaidizi wa timu...

READ MORE

Siku za Masoud Djuma Zahesabika Rasmi Simba

  SASA ni rasmi kwamba dakika yoyote kuanzia sasa linaweza kutoka tangazo la Simba kuachana na kocha wao msaidizi, Mrundi...

READ MORE

Wachezaji Wawili Simba Wawekwa Pembeni

  WACHEZAJI kadhaa walioachwa wakifanya mazoezi na Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma Jijini Dar es Salaam, huenda wakaikosa mechi...

READ MORE

Masoud Akabidhiwa Mechi ya Yanga

BAADA ya kugundua umuhimu na ugumu wa mechi ya Yanga, Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems ameianzia mkakati maalum ikiwemo kumkabidhi majukumu...

READ MORE

Djuma Abaki Simba SC Kwa Masharti Magumu

  WAKATI sakata la Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma kutaka kufukuzwa ndani ya kikosi cha timu hiyo likiwa bado...

READ MORE

Zahera: Nileteeni Kocha wa Simba Djuma Yanga

  YANGA wanafikiria kumpa ofa Kocha mwenye mbwembwe mazoezini, Masoud Djuma kama Simba wakikubaliana kumpiga chini.   Lakini Kocha wa...

READ MORE

Manara Azungumzia Simba Kumtimua Kocha Masoud Djuma

MSEMAJI wa klabu ya Simba, Haji Manara, amezungumzia na kupuuza uvumi uliozagaa kwamba klabu hiyo inataka kuachana na  kocha wake...

READ MORE

Kocha Djuma Awajibu Mashabiki Simba – Video

BAADA ya klabu ya soka ya Simba kufungwa mabao 2-1 na Azam FC kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la...

READ MORE

Mrundi Simba Ataja Kinachommaliza Wawa

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Masoud Djuma, raia wa Burundi, ametaja sababu za beki Muavory Coast, Pascal Serge Wawa kutokuwa...

READ MORE

Simba SC Watenga Mechi Tano

KWA mujibu wa benchi la ufundi la Simba, wametenga mechi 5 ambazo zimebeba pointi zitakazowapa ubingwa. Simba ya Mfaransa Pierre...

READ MORE

Mrundi: Msiogope Ubingwa Simba Lazima

SIKU chache baada ya kutolewa katika hatua ya makundi ya Kombe la Mapinduzi, Kaimu Kocha wa Simba, Masoud Djuma amewashusha...

READ MORE