Matokeo Darasa la Saba 2020 Yatangazwa, Tazama Matokeo Hapa
BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) leo Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2020
Baraza la Mitihani nchini (Necta) limezifutia matokeo shule 38 za msingi kutokana na udanganyifu…
