#BreakingNews: Basi Laua Wawili na Kujeruhi 8 – Mbalari, Mbeya
MBALARI, MBEYA: Watu wawili wamefariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni ya Upendo kuacha njia na kupinduka eneo la Malimboji-Igawa wilayani hapa.
Kaimu Kamanda wa…
