Wahindi Wekundu; wanaotembea bila nguo, walaji wa nyani!
KATIKA mfululizo wa makala za safu hii, tuliwaeleza kuhusu watu weusi wa Papua New Guinea ambao licha ya kukaa bila kuvaa nguo walikuwa na tabia ya kutisha ya kula nyama za watu. Baada ya kuwasimulia simulizi ndefu juu ya watu hao,…
