The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Mke

SIFA 10 ZA MUME BORA

Imekuwa ni vigumu sana kwa walio wengi kufanya chaguo juu ya mwenzi bora wa kudumu naye, hasa kwa upande wa wanawake/waschana kwenye kutoa maamuzi juu ya wanaume pindi wanapoleta maombi. Unapofanya chaguo…

SIMANZI! MUME AMUUA MKEWE GESTI

SIMANZI! Mfanyabiasha wa matairi eneo la Temeke Chang’ombe jijini Dar, Mussa Kalavya anashikiliwa na jeshi la polisi akiwa hoi Hospitali ya Temeke, baada ya kudaiwa kumuua mkewe, Claudia Mengere (pichani) kwa kumchoma na bisibisi…

MKE AGAWA MTOTO KWA BABA WAWILI!

  DAR ES SALAAM: Wanaume kaeni chonjo! Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Neema Lusaka, anadaiwa kugawa mtoto kwa wanaume wawili, hali iliyozua tafrani baina yao, Risasi…

UIGIZAJI WAMKOSESHA DUMA MKE

MWIGIZAJI wa kiume wa sinema za Kibongo, Daud Michael ‘Duma’ ameeleza namna alivyokosa mke, kisa kazi ya uigizaji na kuishia kuzaa na mwanamke huyo kabla ya kufunga ndoa. Duma aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, sababu ya kuchelewa kuoa…

MKEO SIKUMWITA, ALIKOSEA MLANGO

VYOMBO vimetupwa nje na baba mwenye nyumba. Si kwamba eti sijalipa kodi, la hasha! Ni sababu ndogo ya kipuuzi imepelekea yote haya. chondechonde baba mwenye nyumba, mkeo sikumwita. Saa nane usiku nikiwa nimelala katika…

Mke, mume wapofuka macho

Na Deogratius Mongela “Nilizaliwa mkoani Tanga miaka 60 iliyopita nikiwa na ulemavu wa macho (upofu), nikakulia katika mazingira magumu kwani ukiachilia mbali kukosa uwezo wa kuona, wazazi wangu hawakuwa na uwezo wa kunipatia mahitaji…