Meneja wa Harmonize (Mr Puaz) Asepa WCB
MENEJA wa mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize, Mr Puaz ameacha rasmi kazi ya umeneja kwa msanii huyo; kisa ni kutokuwa na maelewano naye.
Baada ya kusikika kwa tetesi hizo Risasi Mchanganyiko…