Maua Sama, Ruby Kunogesha Siku Ya Urembo Asili
BAADA ya kusubiriwa kwa hamu na wajasiriamali na wadau wa urembo, hatimaye ile Siku ya Urembo wa Asili imewadia ambapo leo Jumamosi na kesho Jumapili kwenye Viwanja vya Life Park, Mwenge jijini Dar kutakuwa na bonge la burudani kutoka…
