Simulizi: Msamaha Wa Mama – 03
MWANDISHI/MTUNZI Saed Bin Salim
Kutokana na mapenzi ya mama aliyonayo kwangu, alipanga zamu ya kulala kitandani kwa wiki moja moja.
Ni maisha ambayo tulishayazoea, ilipokuwa ikifika zamu yangu mama analala chini,na ikifika zamu ya…
