HODI JIMBONI: Kutana na Daktari Huyu wa Kipekee – Video
HODI JIMBONI leo inaangazia zaidi katika sekta ya afya ambapo tumezunguka katika baadhi ya Vijiji katika Jimbo la Kibaha vijijini na kujionea changamoto mbalimbali zilizopo kwenye sekta hii sambamba na maendeleo yaliyofanywa na Mbunge wa…
