Mume amfunga mkewe mtini kisa kutopata mimba
Jeni Marwa akiwa amefungwa kamba mtini na mumewe.
Stori: Gregory Nyankaira, UWAZI
MARA: Nyango Hakimu mwenye umri wa miaka 37, anatafutwa na polisi akidaiwa kumfunga mkewe Jeni Marwa (23) kwenye mti na kumpa kichapo kilichomsababishia…
