Mwanzilishi wa CHADEMA na GAVANA wa Kwanza BOT Afariki Dunia
Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edwin Mtei amefariki dunia usiku wa kuamkia Januari 19 2026 akiwa na umri wa miaka 94.
Kwa mujibu wa taarifa ya Makamu…
