The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Namungo FC

Simba Waipigia Hesabu Ruvu

LICHA ya jana Jumamosi kuwa na mchezo mgumu ugenini dhidi ya Namungo FC, lakini akili za Simba zipo kwenye mchezo ujao dhidi ya Ruvu Shooting unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba, mchezo wa kwanza…

Namungo Fc Yaishushia Mvua ya Mabao De Agosto

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF)  Afrika Namungo FC  imejiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi  baada ya kupata ushindi wa mabao 6-2  dhidi ya wapinzani wao Club Desportivo…

Namungo, Waangola Mechi Zote Kuchezwa Tanzania

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeamua mechi zote mbili za Kombe la Shirikisho kati ya CD 1 Agosto ya Angola na Namungo FC ya Tanzania zichezwe nchini Tanzania. Uamuzi huo umefanywa baada ya Kamati ya CAF ya Mashindano…

Mechi ya Namungo na Waangola Yafutwa

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeufuta mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya CD de Agosto ya Angola dhidi ya Namungo FC ya Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), sababu za kufutwa mchezo huo…

Namungo kuwavaa Al Rabita Leo, Kombe la Shirikisho

WAWAKILISHI  wa Tanzania kwenye michuano ya Afrika, Namungo, inatarajiwa kushuka dimbani saa moja usiku leo Novemba 28 kwenye dimba la Chamazi, Mbagala, Dar es Salaam kuvaana na klabu ya Al Rabita kutoka Sudan Kusini kwenye…

Namungo waanza kuitisha Yanga

UONGOZI wa Namungo FC kutoka Ruangwa,Lindi, wanautamani kwa hamu kubwa mchezo wao na Yanga kwenye kombe la FA hatua ya 16 bora. Namungo walitinga hatua hiyo baada ya kuwatwanga Mighty Elephant ya Songea kwa bao 1-0, huku…