Bunge Latengua Kanuni Ili Viongozi Waingie Bungeni
Bunge la Tanzania leo Alhamisi Aprili 22, 2021 limetengua kanuni ya 160 (1) ya kanuni za kudumu za chombo hicho cha kutunga sheria ili kuruhusu baadhi ya wageni kuingia ukumbini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya…