Nedy Music Anakukaribisha Kuitazama ‘Zungusha’ Video Mpya
Msanii wa Bongo Fleva, Nedy Music anakukaribisha kuitazama video ya wimbo wake mpya, 'Zungusha'.
Video imetengenezwa South Africa ikiongozwa na Hanscana, kwa upande wa audio imetengenezwa na Aloneym.
…
