Nilivunja Ndoa Yangu na Shetani-28
ILIPOISHIA:
Nakumbuka siku moja baada ya kuchukua chakula changu na kusogea pembeni ya jalala chini ya mti wakati nakula, alitokea chizi mmoja wa kiume aliyenipora chakula. Kabla ya kunipora alinitandika makofi mawili mazito ambayo…
