Mlemavu, Ombaomba Ajenga Nyumba Mbili za Zaidi ya Tsh Mil 100
Mary Stephano ni mlemavu wa miguu ambaye shughuli yake kubwa ni ombaomba, kazi anayoifanya katikati ya jiji la Mwanza.
Mary amesema katika kazi hiyo ambayo anaendelea kuifanya amefanikiwa kujenga nyumba mbili (na zenye wapangaji zaidi…