The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Penzi Kabla ya Kifo

Penzi Kabla ya Kifo-21

Msichana bilionea, Elizabeth anaamua kumsaidia msichana mdogo, Glory aliyekuwa amepooza mwili mzima. Msaada huo unasababisha kumpenda kaka wa binti huyo. Wanamchukua Glory na kumpeleka nchini India huku kila mmoja akiwa na majonzi tele.…

Penzi Kabla ya Kifo-20

Hatimaye bilionea Elizabeth anakutana na mwanaume mwingine, James, maskini ambaye mdogo wake mgonjwa mno. Anapanga kumsaidia binti huyo na kwenda naye nchini India kimatibabu. Huko, hali inakuwa ngumu, moyo wake unaendelea kumpenda James.…

Penzi Kabla Ya Kifo-17

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Mwanamke bilionea Afrika, Candy Marcel anaishi katika maisha yenye mateso matupu, hana furaha kwa kuwa hana mtoto, mbali na kutokuwa na mtoto, amekutana na mwanaume aliyetokea kumpenda mno nchini Morocco, huyu…

Penzi Kabla Ya Kifo-16

Bilionea mwanamke Afrika, Elizabeth Marcel anasafiri kwenda nchini Morocco kuzindua mavazi yake aliyobuni, anapofika huko, anakutana na mwanaume Rasheed ambaye anatokea kuuteka moyo wake, akawa hali wala halali kwa kumuwaza. SONGA NAYO...…

Penzi Kabla Ya Kifo-15

ILIPOISHIA “Unahitaji nini?’ aliuliza mzee Bashir, kikao kizima kilikuwa kimya, japokuwa walifika hapo kwa ajili ya kuzungumzia uchumi wa Afrika, lakini wakaacha vyote na kuanza kuzungumza na Elizabeth. SONGA NAYO... “Nataka kuwa…

Penzi Kabla Ya Kifo-14

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Baada ya kukataliwa na mwanaume aitwaye Edson, mwanamke bilionea, Elizabeth Marcel anapokea simu na kuambiwa aende nchini Morocco kwa ajili ya kuzindua mavazi yake. Hakatai, japokuwa aliyemuita hamfahamu,…

Penzi Kabla Ya Kifo-13

Mwanamke bilionea mwenye kiu ya kupata mtoto, Elizabeth Marcel anajikuta akitukanwa na mume wa mtu kisa tu alikuwa akimpenda na kumtaka kimapenzi. Hilo, linamuumiza mno na kuamua kuachana naye kisha kusonga na maisha yake pasipo kujua Mungu…

Penzi Kabla Ya Kifo-12

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Elizabeth alibaki akiwa amesimama kama nguzo ya umeme, hakuamini kile kilichotokea, moyo wake ulikuwa kwenye maumivu makali mno, hakutingishika, alibaki vilevile na ghafla machozi yakaanza kumbubujika mashavuni…

Penzi Kabla Ya Kifo-11

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA... “Kumbe huyu hanijui, sasa subiri....” alisema Edson huku akiwa na hasira kali kama mbogo. Akawasha gari na kuanza kuelekea nyumbani kwa Elizabeth aliyekuwa akiishi hukohuko Mbezi Beach. SONGA NAYO... Simu…

Penzi Kabla Ya Kifo-10

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA “Edson....Edson...nakupenda Edson...nahitaji uwe wangu Edson...” alisema Elizabeth huku machozi yakimbubujika.Endelea... Hakukuwa na kitu kilichobadilika, kama siku nyingine, usiku wa siku hiyo alikuwa na…

Penzi Kabla Ya Kifo

ILIPOISHIA Hakutaka kuchelewa, hata hakutaka kumpa taarifa Candy, kwa kuwa alikuwa amekwishaoga asubuhi hiyo, alichokifanya ni kuanza kuelekea huko Ubungo kwa ajili ya kuonana na Edson tu. SONGA NAYO.. Hakuchukua muda mrefu akafika…

Penzi Kabla Ya Kifo-5

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Alikuja kupatwa na usingizi saa saba usiku, muda wote huo alikuwa akiendelea kumfikiria tu. Alipoamka saa tatu asubuhi, kitu cha kwanza kabisa ni kumpigia simu Candy na kumtaka kufika nyumbani kwake. SONGA…

Penzi Kabla ya Kifo -4

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA “Ngoja nimfuate nikazungumze naye.” “Elizabeth, huoni watu wanavyokuangalia?” “Hata kama, siogopi chochote kile, acha nimfuate,” alisema Elizabeth. SONGA NAYO Hakutaka kuvumilia, moyo wake ulikwishakufa na…