×

Tag: POLISI

Polisi Afukuzwa Kazi kwa Kusababisha Kifo

POLISI  Zanzibar imemfuta kazi Askari wake Hussein Yahya Rashid (36) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kusababisha kifo cha...

READ MORE

Maalim Seif Aitwa Polisi

JESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar limemtaka Mshauri mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif...

READ MORE

Makamanda wa Polisi Waipongeza Global Kuwaanika Wahalifu – Video

Mkuu wa Utawala Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP), Lucas Mkondya leo amemuwakilisha Inspekta Jeneral (IGP), Simon Sirro kutembelea...

READ MORE

Kamanda Mkondya: Uchaguzi 2020, Hatutapendelea chama chochote – Video

    JESHI la Polisi nchini limesema limejipanga kuhakikisha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, utafanyika kwa haki...

READ MORE

Askari Polisi Kortini kwa Utakatishaji Fedha

WATUHUMIWA wanne akiwemo Askari Polisi, Emmanuel Mkilia wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo kuisababishia...

READ MORE

Trafiki Kubandikwa Kamera Mwilini Kuzuia Ulaji Rushwa

KUTOKANA na kukithiri vitendo vya rushwa nchini Kenya, Kiongozi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Noordin Haji amemuagiza Ispekta Mkuu wa...

READ MORE

Askari Polisi Akatwa Nyeti na Mkewe kwa Madai ya Kuchepuka

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia mwanamke Frola Adamu (23), mkazi wa Shinyanga mjini, kwa tuhuma za kumkata mume wake...

READ MORE

Polisi 29 Wahukumiwa Kifo

MAHAKAMA Kuu nchini Sudan imewahukumu kifo polisi 29 kwa kosa la kumtesa na kumuua Mwalimu Ahmad al-Khair (36) waliyemkamata wakati...

READ MORE

Ofisa wa Polisi Auawa Akigombea Bia Baa

  POMBE imemponza askari wa polisi na kusababisha kukatishwa uhai wake kutokana na ugomvi ulioibuka baina yake na wahudumu wa...

READ MORE

Polisi Asakwa Kumbaka na Kumpa Ujauzitio Mwanafunzi

MSAKO mkali wa polisi aliyetoroka kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha kwanza wilayani Kyela mkoa...

READ MORE

Mwandishi Aliyedaiwa Kutekwa, Kutupwa Porini, Polisi Yafunguka

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa, amesema kuwa Mwandishi wa Habari wa Radio Kwizera, mkoani humo George Bahamu,...

READ MORE

Afisa Mkuu wa Polisi Kortini kwa Mauaji ya Mwandishi wa Habari

 OFISA Mkuu wa Polisi, Bi. Sabina Kerubo anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya Mwandishi wa Habari wa The Star, Bw. Eric...

READ MORE

JPM: Hakuna Askari Atakayekatwa Pesa ya Nyumba – Video

RAIS  John Magufuli amesema katika nyumba zaidi ya 6,600 zilizojengwa nchi nzima ambapo mkataba wake ulisema askari watakaokaa wakatwe, amemhakikishia...

READ MORE

JPM: “Muroto Nilikupa Pesa Zangu, Sirro Ningeteua IGP Wangu”- Video

   Rais Dk. John Magufuli leo Novemba 22, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 118 za...

READ MORE

Jambazi Kambare Aliyeteleza Akikamatwa Auawa Dar – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuua watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi sugu akiwemo aliyefahamika...

READ MORE

Mhindi Adakwa na Almasi Mwanza Akisepa Nairobi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama vikiwemo vile vya Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Ofisa TAKUKURU Amuua ‘Girlfriend’ Wake kwa Risasi -Video

OFISA Msaidizi (mlinzi) wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, James Paulo (27), ...

READ MORE

Huku Akiachiwa Watoto 5, Mke Adai Polisi Kuua Mumewe!

HAPPINES Massawe (30), mkazi wa Pugu, Kigogo-Freshi, Dar amewatuhumu polisi kusababisha kifo cha mumewe, Mohammed Chubi (28) baada ya kumchukua...

READ MORE

Anaswa Akitorosha Madini

MTU mmoja Khalifa Mohamed Kinyaka (51) anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, kwa tuhuma za kutorosha na kusafirisha viroba...

READ MORE

Wanafunzi Wanaodaiwa Kuua Waruhusiwa Kujiandaa na Mtihani

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Katoro Islamic wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya mwanafunzi mwenzao, Mudy Muswadiku, wameruhusiwa kujiandaa na mtihani...

READ MORE

Wanafunzi Chuo cha Ualimu Wajikuta Mikononi mwa Polisi

WANAFUNZI zaidi ya 400 wa Chuo cha Ualimu Moshi zamani Mong’are kilichopo Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro wamefunga barabara na...

READ MORE

Polisi Yanasa Matapeli wa Magari Wakimuibia Mama Benki – Video

WATU watatu wanaodaiwa kuwa ni matapeli wa magari wamenaswa na Jeshi la Polisi maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es...

READ MORE

Mwandishi Akamatwa Akidaiwa Kuchapisha Habari ya ‘Udhalilishaji’

MWANDISHI wa habari,  Joseph Gandye, ambaye ni Mhariri wa Uzalishaji Maudhui,  Msimamizi Msaidizi wa Watetezi TV amekamatwa na polisi akituhumiwa...

READ MORE

MSAIDIZI WA MEMBE ALIYEDAIWA KUTEKWA APATIKANA

MSAIDIZI wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe, Allan Kiluvya amepatikana akiwa hai baada ya...

READ MORE

ARUSHA: Mwalimu Akamatwa na Bunduki ya Kivita – Video

Jeshi la polisi Arusha limemkata Solomon Letato (30) ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Naan iliyopo Loliondo kwa tuhuma...

READ MORE

Lugola Awasimamisha Kazi OCD, OCS na OC CID, Kisa Mahabusu 15 Kutoroka

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amewasimamisha kazi Mkuu wa Polisi Wilaya ya Geita (OCD), Mkuu...

READ MORE

MAAJABU! Afukua Kaburi la Baba Yake na Kuchukua Blanketi – Video

Kijana mwenye umri wa miaka 28 amefanya kitendo cha kuacha watu midomo wazi baada ya kufukua kaburi la baba yake...

READ MORE

MDUDE Alivyomwaga ‘MACHOZI’ Hadharani “NINA KOSA GANI” – VIDEO

MWANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali amesema licha ya kupotea hivi karibuni kwa kile alichokidai kuwa...

READ MORE

Polisi na Askari Magereza Wapigana Makonde, Mabomu na Risasi Zarindima

Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza wilayani Masasi Mkoani Mtwara, wamepigana makonde hadharani katika eneo la stendi kuu ya...

READ MORE

Mbunge: Mnasema POLISI Ugonjwa wa KANSA, Hamjalala Kwenye Handaki Nyie – Video

MBUNGE wa viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anna Mwakilagi ameishauri serikali kupitia Wizara ya Fedha na...

READ MORE

Polisi Waacha Kituo Wakitazama Mechi, Wezi Waondoka na Kuiba Bunduki 3

WEZI wamevunja kituo cha Polisi cha Kamorwon kilichopo kaunti ya Nandi nchini Kenya, na kuiba baadhi ya silaha zilikuwepo katika...

READ MORE

ARUSHA: AJICHINJA KOROMEA HADI KUFA, RPC AFUNGUKA! – VIDEO

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limethibitisha kifo cha Mkazi Mmoja wa Simanjiro, Razaro Kiolori (53) ambaye amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Ushahidi Kesi ya Mauaji Mwanafunzi wa Shule ya Scholastica, Ilivyokuwa

SHAHIDI Irene Mushi (35) ambaye ni wa kwanza kwenye kesi ndani ya kesi ya Msingi ya Mauaji ya kukusudia namba...

READ MORE

MWAKIFWAMBA MBARONI KWA GARI LA WIZI

RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba Ijumaa iliyopita amepatwa na msala baada ya kunaswa akiwa na gari...

READ MORE

TAMKO la POLISI Kuhusu MAUAJI Kigoma “Tutawalaza Wote” – Video

Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Liberatus Sabas amewahakikishia wakazi wa Mkoa wa Kigoma kuimarishwa kwa...

READ MORE

Baba Amnyonga Mwanae Hadi Kufa, Akidai Sio Mtoto Wake

JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia Robison Enerst (33) fundi ujenzi kwa kosa la kumnyonga shingo,  mwanae Modesta Robison mwezi...

READ MORE

Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji, Mzee Auawa kwa Mkuki!

MZEE mmoja aliyetambulika kwa jina la Visu Urembo (80), amefariki dunia baada ya kuchomwa mkuki kwenye sehemu ya ubavuni mwa...

READ MORE

MADAI YA KUKUTWA NA MKE WA MTU CHUMBANI, ASKARI AKATWA NYETI

KUNA unyama ambao ukisimuliwa unaweza kusisimkwa na mwili; mfano ni huu wa mtu kuchukua kitu chenye ncha kali na kumkata...

READ MORE