The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Prince Dube

Prince Dube, Tigere Waikosa Simba

NYOTA watatu wa Azam FC, Prince Dube, Never Tigere na Bruce Kangwa, huenda wakaukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakaochezwa wikiendi hii kutokana na kuwa na majukumu kwenye timu yao ya taifa ya Zimbabwe. Wazimbabwe hao…

Watatu Watimka Azam FC, Yupo Dube

JUMLA ya wachezaji watatu wanatarajiwa kuondoka katika kikosi cha Azam FC kwenda katika timu ya taifaya Zimbabwe kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON). Wachezaji hao ni beki wa kushoto, Bruce Kangwa, kiungo Never…

Wasauz Wamrudisha Dube Uwanjani

MADAKTARIwaliosimamia matibabu ya straika hatari wa Azam, Prince Dube kutokea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, wamempunguzia straika huyo muda wa kukaa nje ya uwanja, kutoka wiki nne hadi sita zilizotajwa hapo awali mpaka wiki tatu.…